Ukifuatilia hoja za wana CCM kama vile Jenista Mhagama Bungeni utashangaa. Wanajisahau kiasi kwamba wanadhani katiba ya nchi ni mali ya CCM. Muda huu siyo wa CCM kudanganya wananchi. Huwezi...
Ndugu zangu,
Kuna kisa cha kijana aliyehangaika sana kuusaka ukweli. Katika pitapita zake akaliona duka. Kibao kimeandikwa dukani ; Hapa tunauza ukweli.
Dukani hapo ukweli unauzwa kwa...
Taarifa zangu za kiintelijensia zimenipasha kuwa leo viongozi wa Jukwaa la Katiba watakuwa na kipindi Live Mlimani TV kuanzia saa mbili unusu usiku. Naamnini wanaweza kujibu hoja nyingi...
Nimeongea na watu wengi wa Karagwe kuhusu kauli aliyosema bungeni mbunge wa Karagwe Blandes kuwa wananchi wa Karagwe wamemtuma kuwa wanakubali muswada wa tume ya katiba uliopo bungeni upite kama...
Ndugu wadau nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa umakini sana na Kuona Chama cha demokrasia na Maendelea CDM wakitoka nje kwa kukataa kuendelea kujadili muswada wa Mapendekezo ya Katiba mya kwa kutaka...
Kwa watu wanaofuatilia siasa za Tz kuna wakati CUF walikuwa wanatumia falsafa ya ngangari na kujifanya wanatetea watu. Kuna watu nchi hii wameteswa na kupata tabu kwa ajili ya CUF. CUF walikuwa...
Naamin katiba mpya siyo tiba ya umaskini wa watanzania bali itakuwa nyenzo mojawapo ya kututoa sehemu moja na kutupeleka sehemu nyingne ambayo naamin itakuwa bora zaidi.
Ninachooka katika mchakato...
Ndugu watanzania, mjadala unaoendelea bungeni "muswada wa katiba" nawaambia ya kuwa wabunge wa ccm kupitia bunge wanatuambia kuwa dar-es-salaam, dodoma na zanzibar ndiyo tanzania!!!!!! Maajabu na...
Bunge la 10,Mkutano wa 5,Kikao cha 6
Mpaka bunge linahairishwa mi sijaelewa nini kinaendelea Bungeni
Hivi ni kweli hawa wabunge wamejipa japo muda kidogo wa kukisoma walichokiongea?
Maana kila...
Ninapendekeza katika Katiba mpya suala la Mbunge kuwa kwenye uongozi kwa vipindi zaidi ya viwili lisipewe nafasi. Mbunge ahudumie wananchi wake kwa vipindi viwili tu vya miaka mitano mitano. Na...
Wakuu hebu nijuzeni vizuri kuhusu jukwaa la katiba
Nalijua jukwaa hili kwa maana ya jinsi lilivyo mstari wa mbele kuendesha mijadala na michakato ya kupata katiba mpya likiwa chini ya mwenyekiti...
Tanzania inaelekea siko?
Kama kungekuwa na Baraza la Taifa la Katiba, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) isingekuwa ovyo!!!
Baraza la Taifa la Katiba linatakiwa liwe na wajumbe wasiofungamana...
#48 Moyo 2011-11-15 09:42 "alikiri kwamba aliwazuia wajumbe wa kamati hiyo siyo tu kwenda mikoani kukusanya maoni ya wananchi, lakini hata wale waliotaka kwenda nje ya nchi kwa lengo la...
Hivi hawa watu ni nani anaitakia mema nchi hii? Ukizingatia kelele nyingi zinatupoteza
mara,
1.jukwaa la katiba
2. Mara wabunge upinzani,
3.mara wabunge sisiemu,
4.mara wanasheria uchwara...
Hadi sasa tumeshuhudia utumiaji mkubwa wa nguvu kupita kiasi wa Polisi dhidi ya wananchi wa Tanzania. Ukweli ni kwamba Tanzania imefikia hatua ambayo inafadhaisha, inakera na inasikitisha sana...
Raisi wetu inafaa akae muhula mmoja tu, usiopungua miaka mitano (5) na kutozidi miaka saba. Napendekeza miaka saba. Hii ni kuongeza ufanisi wake tupate tija zaidi. Pia hatalazimika kuomba kura na...
Shivji: No need for hurry about Constitution Bill
By Guardian on sunday correspondent
13th November 2011
Professor Issa Shivji
The opposing voices against planned...
Ndugu Zangu:
Mwanasiasa Zitto Zuberi Kabwe anaandika; Kama kuna jambo moja ambalo huunganisha Taifa ni KATIBA ya taifa hilo. Katiba huweka misingi mikuu ya nchi na namna ya kujenga na...
Hali ya wabunge wa CHADEMA akina MBOWE, TUNDU LISSU, LEMA na ZITTO ziko je hadi sasa??? kuna uwezekano wa wao kuwepo Bungeni kwa wiki inayoanza tar 14/11/2011? Ni wiki muhimu sana kwani mstakabali...