Katiba yenyewe hii hapa http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf
Mimi naanzia kwenye utangulizi.
Hivi tuliamua lini haya na tuliamua vipi?Tulipiga kura au?Mimi sikumubki...
CCM Inatumia Katiba Tena Kuweka Maamuzi ya Kisiasa. Chadema Hawana Haki ya Kufanya Mikusanyiko Ila CCM Wanahaki ya Kuhutubia Bungeni na Kokote Inchini. Wananchi Hii Inazidi Kudhihirisha Njia Inchi...
Habari zenu wanaJF,
Napenda nitofautiane kidogo na wenzangu kuhusu hili suala la Katiba mpya. Kwangu mimi kipaumbele cha kwanza ni mishahara mikubwa na posho nono wanazopewa wabunge. Kama kweli...
Jana katika mdahalo kati wamh Hamadi na Mbowe ulio rushwa live na itv mh Hamadi alitueleza kuwa walibadisha katiba ya ZNZ baada ya kupiga kura ya maoni na watu wakarizia kuanzisha kwa serikali ya...
I am in an opinion that the wish and will of those who have the nodes of changes in our nation is at frail , there should be a very... hard backlash of the need for constitution from what we call...
:target:Misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 (Toleo la 20 Juni 2005)
KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga...
Ndugu zangu wana JF,
Kasi ya kudai katiba mpya naona kama imepoa. Wananchi wengi mitaani wanaongelea habari ya katiba mpya lakini wanakosa uongozi wa kuwakusanya ili kuonyesha hisia zao. Jaji...
Baada ya kusikiliza mahojiano ya Dr Slaa juu ya sababu za Chadema kutoka bungeni, naona moja ya madai yao ni Katiba mpya. Sawa...ni kweli tunahitaji katiba mpya, lakini mimi najiuliza ivi cha...
Ukiona hivyo watu wanaishi kwa maslahi tu, unapotaka kuleta utaratibu mpya inakuwa shida kidogo, tanzania imekuwa kama mbio za kijiti watu wanapeana tu, na imefanywa kama keki ya birthday inaliwa...
Kikwete eteue Constitutional Review Commission
DAR ES SALAAM, November 21, 2010
Ili kuiokoa Tanzania na political crisis au impasse/stalemate kama iliyotokea
Zanzibar, Rais Kikwete anapaswa...
Inaonekana Serikali ya JK haina nia ya kuanzisha mchakato wa kuanzisha katiba mpya zaidi ya kuendelea kuiweka viraka.Je Wananchi tunaweza kutumia njia gani kudai katiba mpya?Wana JF tunaweza...
Naomba usome kipengele hiki kinachozungumzia tume ya taifa ya uchaguzi - NEC kisha useme kama kuna mazingira ya uhuru wa tume. (attachment)
Unafikiri tume inatakiwa iweje ili iwe huru...
WanaJF, nimeamua kutoshiriki kupiga kura kwa chaguzi zijazo hata kama nitapoteza haki yangu ya msingi, unless otherwise, Katiba ya Uchaguzi ibadilishwe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa Tume huru ya...
Lipi lililo bora kufukuza mamba waliopo mtoni ndio tuogelee au kuogelea na kuwafukuza tukiwa ndani ya mto huo huo. Yes nimelazimika kusema hivyo kwa kuwa tumekubali kuingia katika uchaguzi ilhali...
Documentary nzuri sana!First class and well narrated! Sijui kama bongo tuna uwezo wa kutengeneza kitu kama hichi. Hii imenifundisha mengi na kuniacha na maswali kibao!
Moja wapo ni hili: Tz...
Baada ya uchaguzi Mkuu naamini kitu muhimu kinachotakiwa kufanywa na Watanzania ni kudai katiba mpya bila kujali nani ameshinda. Itakuwa ni ndoto kushindana na Kenya kimaendeleo na KATIBA ambayo...
Unajua kutokana na katiba ya uchaguzi ya hivi sasa kuruhusu wapiga kura kuchagua mgombeaji badala ya chama, nadhani inaruhusu kuwepo na hii loop-hole ya wizi wa kura na wanaweza ku justfy wizi wao...
KWA mujibu wa kauli ya Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Bw. Jakaya Kikwete yeye na chama chake hawana mpango wa kuridhia Watanzania kuwa na Katiba Mpya kwa miaka mitano ijayo...
Wa TZ majibu mazuri ya mafisadi ni kubadilisha katiba. mfano katiba mpya ya kenya ilivyomng'ata wetangula. tukifanya hivyo jk tunaye na first 11 yake including so called first lady.
Slaa =...