Mimi nafikiri wakati umefika Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa awe anawajibika kwa bunge pia.
Taasisi hii kuwajibika kwa raisi pekee si jambo jema kwa ustawi wa nchi hii.
Taarifa...
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au...
Suala la Katiba mpya haliepukiki nchini kwa mazingira ya sasa, na kujaribu kulizuia ni sawa na mtu kujaribu kutemea mate anga. Na kwa kufanya hivyo, hawezi kukwepa kujichafua uso wake mwenyewe. Au...
Rais wa nchi ndiye anaechagua mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi.
- Ndani ya ccm Rais wa nchi ndiye mwenyekiti wa chama.
Rais anapomaliza muhula wa kwanza wa uongozi wake anasifa ya...
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna...
Ngara. Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severin NiweMugizi ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kupigia debe Serikali ya Tanganyika...
Kakobe amlaumu Kikwete
Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe, amemshambulia Rais Kikwete kwamba ndiye aliyevuruga mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya...
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni suala la muda tu Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna mtu...
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe ameongeza chumvi katika Mchakato wa Katiba kwa kueleza kuwa anaunga mkono msimamo wa Umoja wa Katiba...
Kabla ya mahubiri ya Neno la Mungu katika Ibada Kuu ya leo Jumapili 7.9.2014, Mwenge, Dar-Es-Salaam; Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zachary Kakobe, alianza...
Habari za muda huu ndugu wana JF, natumai mnaendelea vyema na siku kuu. Nije kwenye hoja hii yangu ya Leo
Kwa hali ilivyo sasa inaonekana upinzani hawana hoja za msingi za kushindana na CCM.
Mimi...
Ni jambo la kupongezwa kuona kuwa Sumatra wamefahamu ni kero kulaza watu majiani kwa sababu zisizo na msingi. Kung’ang’ania mipangilio kama ilivyokuwa miaka ya 1970 katika zama za leo ni kujiwekea...
Wakuu leo nimetazama makala ya Tunakumbushana kupitia www.bmghabari.com nikaona ni vyema kushare nanyi jambo hili muhimu na la kitaifa. Bonyeza BMG kutazama hiyo makala.
Mpaka sasa ni dhahiri kuwa katiba mpya inayotakiwa kulinda rasilimali za nchi haizuiliki na wala halipaswi kuwa ombi tena, mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi ijadiliwe bungeni tena 'live'...
Kumbe nia ya kutumia nguvu kubwa katika kuuwa upinzani ni ili wapate wabunge wengi bungeni na wapate nafasi ya kupata kula ya ushindi pale watakapopigia kumwongezea rais muda wa kukaa madarakani...
Piga kura yako sasa kwa kuandika neno MBILI AU TATU Ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya.
NIWAOMBE MOD'S WATUSAIDIE KUTENGENEZA UTARATIBU KAMA ULE WA MPAMBANO KATI...
Ndugu wanabodi,
Assalaam alaykum.
Siku nyingi sijaandika hapa na hata kusoma, nimekuwa bize sana na majukum mbalimbali ya kusongesha mbele maisha.
Leo nimeamka nikajifikiria niwataarifu...
Yanayoendelea kenya ni kielelezo tosha kua katiba yoyote hutungwa katika mazingira ambapo mwenye ushawishi mkubwa kwa raia ndiye anaeihodhi. Ndio maana pamoja na kenya kua na katiba mpya...
WanaJF,
Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini...