KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Anaandika Mh Mbunge: Lazaro Nyalandu NAKUSUDIA kuwasilisha kwa SPIKA wa BUNGE, Mh. Job Ndugai, Mb., AZMA yangu ya kuleta MUSWADA binafsi wa SHERIA katika KIKAO kijacho cha BUNGE itakayoweka...
12 Reactions
117 Replies
12K Views
Mchakato wa Katiba mpya ulisimamiwa vyema na iliyokuwa Tume ya Marekebisho ya Katiba chini ya uenyekiti wa Jaji Joseph Warioba, ambao waliandaa rasimu ya Katiba iliyokabidhiwa Desemba 30, mwaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Matukio mengi yanayoendelea nchini kwasasa na wengi wetu inafika wakati na kudhani katiba mpya itasaidia kupunguza ama kuondoa uonevu. Tupitie video mbili hapo chini kuonyesha uonevu hata Siku...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa Watanzania tunayo hamu kubwa ya kupata katiba mpya. Lkn ni ukweli usiopingika kwamba CCM kama chama na si watu hawako tayari kuliona tamanio hilo likitimia!! Nimeamua...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
X: Kwani nyie mnataka nini? Y: TUNATAKA KATIBA MPYA. X: Katiba ni nini? Y: SISI HATUIJUI. X: Kwani ile ya zamani ina Tatizo gani!? Y: HATUJUI ILA TUNATAKA KATIBA MPYA? X: Sasa kwa nini mnataka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati mwingine sarakasi za siasa za upinzani zinadhihirisha jinsi hawa jamaa walivyopoteza mwelekeo. Kuna jambo nimelisikia, ni kikundi cha kujadiliana ama discussion group imeundwa Dodoma...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Dar es Salaam.Tarehe na mwezi kama wa leo miaka 67 iliyopita alizaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete. Leo Jumamosi akiwa anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa salamu mbalimbali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Anaandika: Juma George Nimejaribu kufanya utafiti juu ya hoja ya KATIBA iliyozungumzwa na baadhi ya watanzania (Wanasiasa na Wasio-wanasiasa), kwa muda wa wiki tatu na kugundua kuwa lina maslahi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Natoa rai kufanyike mabadiliko ya Katiba ili kuanzishwe viti vinne vya ubunge kwa diaspora. Jambo hilo sio jipya kwani hata Bunge la Katiba tulikuwa na uwakilishi wa diaspora...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAMKO LA BARAZA LA WAZEE KUPITIA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA WAZEE DUNIANI 1/10/2017 Ndugu wanahabari Tunashukuru kwa fursa hii nyingine ya kukutana na kuzungumza na...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kelele za wanajamii kutaka katiba mpya, kimeanza kusikika kwa nguvu. Maaskofu na waandishi wa habari ni sehemu tu ya wanaopaza sauti wakitaka nchi iwe na msingi mzuri wa katiba mpya. Mheshimiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wanaoweza kutafakari vizuri na kuweza kuangalia mambo kwa upana na umuhimu wake mtakubaliana na mimi kuwa mchakato wa katiba uliungwa mkono na Watanzania takribani wote. Katiba mpya siyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kabisa natoa pongezi zangu kwa majirani zangu wakenya kwa hatua nzuri ya kidemokrasia waliyofikia. Binafsi nampongeza Jaji aliyetoa maamuzi, Raila Odinga kwa kutumia mahakama kudai haki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nakumbuka mapema kabisa raisi pombe magufuri alisema katiba mpya sio kipaumbele chake,,na ukiangalia mtindo na aina ya uongozi wake raisi wetu umefanya hata taasisi za kidini kuwa ngumu kumkosoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaam wanajamvi!! Katiba sio mkataba wa kupangishiana vyumba uswahilini, Katiba ni maisha na asset. Naona wimbi la vuguvugu lenye kujivika ujasiri wanashinikiza mchakato batili wa kuandikwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imeshauriwa kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ili iweze kufanikiwa katika mapambano dhidi ya rushwa na kuboresha maisha ya watanzania. Mchakato wa katiba mpya ulikwama baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dodoma. Jukwaa la Katiba Nchini (Jukata) limeandaa maandamano ya amani ya kutaka kurejeshwa kwa mchakato wa Katiba Mpya. Akizungumza leo Jumanne mara baada ya mkutano mkuu wa jukwaa hilo wa siku...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Huyu mzee kijana kila siku anatafuta kiki kwa pikipiki na haitimii au akiita press vitu avavyoongea ni vya ajabu ajabu sana yaani anavyotumia mda kuitangaza haiendani na kile kinachotarajiwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
KATIBA NI NINI NA VIPI INAVYOTAKIWA IWE Katiba………..ni maandiko maalum yanyoweka utaratibu wa namna gani utawala, bunge na mahakama zitafanya shughuli zao. Katiba vile vile inaweka namna haki...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Source gazeti la mzawa Katika kuelekea kupata katiba mpya waumini wa dini ya kiislam jijini mwanza wamesema katika kutoa maoni ya katiba mpya kwa mambo ambayo yanahusu dini ya kiislam mambo...
3 Reactions
77 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…