Duniani, Majeshi huwa hayaanzishi machafuko, machafuko huanzishwa na wanasiasa.
Jeshi hutekeleza tu amri za wanasiasa.
Madhaifu ya utendaji wa Jeshi hutokana na mapungufu ya busara za viongozi wa...
Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa sasa tunaelekea mwisho wa safari Katika Mchakato wa Kupata Katiba Mpya. Hakika ilikuwa ni safari ndefu ambayo ilijaa milima, mabonde na makorongo ya kila aina. Wengi...
Wameteswa wengi, wamepotea wengi, kimya kimya
Sasa ni hadharani...NAPE, Lissu
Watanzania kuna haja ya kukaa Kimya tena?
Kwanza niwapongeze Watanzania kwa wingi sana wameonyesha kuguswa na tukio...
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali "Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!".
Baada ya Mahakama Kuu nchini Kenya kutengua...
Nimemsikliza Mstaafu Dr. Rwaitama, ki ukweli sikuwahi kumuelewa kwa miaka yote ambayo amekuwa akialikwa na kuongea kwenye televisheni na radio, jana kwa mara ya kwanza nimemuelewa alipokuwa...
Ni rahisi mno kuona mrejesho uliotokea kwenye SERIKALI nyingi Afrika baada ya mahakama kuu Kenya kutengua uchaguzi uliompa ushindi Kenyatta....
Sikuona pongezi zozote toka serikali zilizoko...
Wanajamvi ningependa kufahamu kati ya katiba hizi 3 ipi inasimamia misingi ya kidemokrasia na inaheshimiwa na wafuasi wake
1. Katiba ya CCM
2. Katiba ya CHADEMA, na
3. Katiba ya Jamhuri ya...
Habari wakuu?
Naomba msaada wa kisheria kama ifuatavyo..
Nimeajiriwa kwenye kampuni binafsi na nina mkataba wa continous( wakudumu)..
Sasa mwajiri anataka tuingie mkataba mpya wa mwaka mmoja mmoja...
Hua kila nikiwafikiria baadhi ya vijana wenzangu napata shida sana. Yaani mtu anataka kuamka na kuanza kupoteza muda kuzunguka na kampeni ya hovyo kabisa tena yenye uchonganishi ulio kinyume na...
Ipo hivi.........
Kuitenganisha mihimili ya dola ifanye kazi kwa kutokuingiliana ilikuwa ni sehemu ya mapendekezo ndani ya rasimu ya Warioba.
Kuundwa kwa mahakama ya juu (Supreme court) ilikuwa...
Kumekua na maoni mengi sana kuhusu suala la katiba mpya Tanzania. Suala hili lilipigiwa sana kelele na wananchi pamoja na wanasiasa hadi pale JK alipoanzisha mchakato huo ambao pia uliishia...
Tunapomchagua Rais, maana yake ni kwamba tumeajiri mtu atutumikie. Tunamlipa mshahara kwa kodi zetu, na tunamlida kwa Vyombo vya usalama kupitia kodi zetu.
Huyu tuliyemwajiri tunatakiwa tumpe job...
Habari zenu wanabodi,
Natumai weekend inakwenda vizuri popote pale mlipo.
Binafsi nikikumbuka swala la katiba mpya moyo wangu unafadhaika sana.
Nakumbuka jinsi tume ya kukusanya maoni...
Basi wana jamvi tusaidiane kufikisha hoja muhimu katika katiba, ili vile viraka vyao wanavyoweka basi waweke
1) Nafasi za mawaziri ziwe ni ajira, watu waombe watume cv waitwe kwenye usaili na...
Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta nikaona jinsi haki inavyojidhihirisha mahakamani.
Nimelinganisha utendaji wa mahakama za Kenya na za hapa kwetu nikaona hakuna...
Ni wazi kabisa kua CCM ndio maadui wakubwa wa upatikanaji wa katiba mpya katika taifa letu ili waendelee kuyalinda maslahi yao binafsi, hawana huruma na hali ilivyo nchini. Wanapiga kelele kwamba...
Wadau nimekuwa nafuatilia namna jirani zetu Wa Kenya walivyofanikiwa kupata Katiba yao.Wakenya Katiba yao imeandaliwa na wasomi , Taasisi na mashirika mbalimbali ila VYAMA vya Siasa...
Katika hili walifanikiwa kwa kiasi kikubwa na hakuna kingine cha maana kilichofanyika na hata wao kisaikolojia hawakuwa wamezamilia kuja na katiba mpya tena ya wananchi Bali kukusanya laki tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.