KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Mimi ni mwanamichezo mwenye lengo la kuendelea katika sekta nzima ya kimichezo natakata kufanya maamuzi sahihi hapo tarehe 30 mwezi huu kwa kuichagua KATIBA HII INAYOPENDEKEZWA lakini nina uelewa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari.... Prof kabudi na Polepole walikuwa wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba, ile ambayo chini ya uongozi wa jaji mstaafu joseph warioba ,iliandaa rasimu ya katiba mpya iliyotokana na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanajamvi.... Siku chache zilizopita Mh Rais aliwatoa hofu watanzania kwamba hatoweza kuendelea kugombea baada ya miaka yake 10 kuisha.... Lakin niseme kitu kimoja kwamba watanzania...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa upande wangu sioni tatizo kumuongezea Raisi wetu vpnd vya kuongoza lkn ili tufike huko ni lazima Raisi husika athibitishe kweli anastahili hilo na kwa Raisi wetu Magufuli ingawaje yuko vizuri...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Imetokea hii leo katika kata ya Kwachuma ambapo raisi aliagiza kuondolewa kwa hakimu wa mahakama ya mwanzo , wanasheria watusaidie katiba inasemaje , wakati mwingine unaweza dhani ameingilia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ingawa katiba inaonekana sio muhimu kwasasa lakini magumu tunayopambana nayo sasa mengi yao yametokana na mianya iliyomo kwenye katiba. Mafanikio ya awamu ya tano yalindwe na kuendelezwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Sheria ya kuwalinda Marais wastaafu, inawalinda na mafisadi wengine wengi. Kwa mujibu wa katiba yetu, Rais wa Tanzania ana hadhi ya Mungu. Ni mtu ambaye anaweza kuelekeza wanasheria kinyume na...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
KITANZI CHA MAALIM SEIF NI KATIBA YENYEWE YA CUF. KUKWAMA kwa majaribio kadhaa ya Katibu Mkuu wa chama cha wananchi( CUF) Maalim Seif Sharif Hamad dhidi ya Mwenyekiti wake Profesa Ibrahim...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mh. amesema kuna mambo yaliyo mahakamani ya TRA na capital gain tax, kusamehe kodi kwa Kilimanjarom cement, hatayaingilia maana ALIAPA KULINDA SHERIA NA KATIBA, hawezi kuvunja katiba na sheria...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Kwa jinsi hali ya Uongozi na Siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa, unadhani ajenda ya mabadiliko ya Katiba itapata nafasi tena? maana naona source ya mijadala ya Bungeni imekuwa ni Instagram: yaani...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF naomba mnisaidie kujibu maswali kadha yanayonisumbua kuhusu katiba mpya. 1-Je katiba mpya ni hisani ya JPM kuamua iendelee au isiendelee? 2-Je JPM kuzuia mchakato wa katiba...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimemsikia mwanasheria wa Lisu akiongea jana baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa na yeye(Lisu) kurudishwa rumande.Napenda tu nimkumbushe huyu mama kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
11 Reactions
173 Replies
12K Views
Wabunge 8 wa Viti Maalim walioteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), imebainika kuwa wameteuliwa kwa kuzingatia ibara ya 78 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katiba ni mambo ya bunge wananchi hawajui kifungu chochote cha katiba. Ikivunjwa wabunge na serikali wamalizane bungeni. Hamuoni Trump anavyoendeshwa puta. Hivi vya kuingia mtaani kuhamasisha...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Taifa lolote lile ili liendelee ni lazima liwe na viongozi wenye maono ya kuliongoza taifa hilo kwenye kilele cha mafanikio. Ukisoma kitabu kinachoitwa “DENG XIAOPING AND THE TRANSFORMATION OF...
1 Reactions
1 Replies
922 Views
Hivi ni Mwalimu gani mzuri wakatiba aliyefanikiwa kukonga nyoyo za watu wengi kama pole pole coz mm nimiongoni mwa watu tuliomfwatila kwa ukaribu sana Nataka tu nijue katiba mpya ikowapi broo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Suala la CAF na taarifa ya jana ya kufutwa uanachama unadhirisha mambo mawili. Zanzibar ni nchi inayokubalika na mataifa zaidi ya hamsini barani Afrika iliopiyaliopigaga kura ya ndio miezi...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
hivi wadau, katiba mpya itakuja kukamilika lini? unajua kipya kilianzishwa ili kuziba mapengo yaliyomo kwenye chakale, sasa kama hiki kipya kinachelewa maana yake tutaendelea nayo mapungufu tu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na kuvamiwa na...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
Huyu amri kutoka juu anakanyaga katiba atakavyo jina lake anaitwa nani?huyu mtu anajua baba wa taifa alisemaje kuhusu kiongozi kuheshimu katiba? Je anajua mwalimu alisema umuhimu gani kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
927 Views
Back
Top Bottom