Inategemea kwako unatafsiri vipi, binafsi ingawaje mimi siyo Mtaaalamu wa mambo ya Katiba lkn hainiondolei uwezo wa kujua kwamba yalioandikwa kwenye Katiba ya Nchi au yoyote ile, inategemea na...
Udikteka huwa kama hivi,
Akisema yeye au wao ni sahihi, wakisema wengine ni Uchochezi, na haya maneno ya uchochezi huwa kwenye Serikali za Kidikteta, Dikteta hulitumia hili neno kufanikisha...
Ndugu wanajamvi naomba tuweke huu uzi hapa kwenye kibandiko ili ukisubiria kuona kiongozi atakaye kuwa wa kwanza kubadili Ibara ya 40 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuondoa ukomo...
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni...
Sote ni mashuhuda wa jinsi katiba yetu ya sasa, ambayo ina madhaifu mengi sana, inavyosiginwa with impunity na serekali ya CCM kupitia viongozi wake.
Sote ni mashuhuda wa jinsi ambavyo kwa miaka...
Wadau inaonekana tunafanya jambo moja katika level ya vyama lakini katika level ya taifa hatujatilia manani jambo hilo.
Nadhani ipo haja ya kuondoa kipengele cha Rais wa Jamuhuhuri ya muungano...
Wana jf naomba mnikokotolee hii hesabu inayoongelewa mjengoni kwamba isipo kidhi thelusi 2 au 3 katiba mpya haitapatikana. Je wataalam wa hisabati hebu nisaidieni hapa hii hesabu iko vipi? Ili...
Wadau salam,
naomba nitoe ushauri wangu kwa wanasiasa wanaohusika kwa maslahi yao na ya nchi yetu kwa ujumla.
Kiongozi/mwanasiasa hasa katika ngazi ya Ubunge/udiwani, kazi yake kubwa ni...
Dodoma/Dar. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya...
Hizi kelele za kutaka sijui Raisi aongezewe muda huenda ni mbinu tu za kutaka kutumia mwanya wa kufanyia mabadiliko katiba inayopendekezwa kwa lengo la kuongeza muda/vipindi vya Raisi kugombea...
Lukuvi aishukia Ukawa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amewashukia wajumbe wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), waliogomea kuendelea na...
Ndugu wana Jamvi naomba sasa tuwe serious /makini na Nchi yetu kwa faida yetu na ya vizazi vijavyo.
Tunahitaji kujenga Nchi yenye Matumaini kwa kila Mwananchi bila kuhitaji huruma za viongozi...
ASKOFU mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville, amemuomba Rais Dk. John Magufuli kumalizia mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya ulioachwa na...
Wakuu hebu tuliweke sawa hili!
Hivi tunapolilia tume huru ya Uchaguzi bila katiba mpya iili mambo yakae sawa hasa wakati wa uchaguzi tunamaanisha nini? Inawezekanaje tume ya Uchaguzi iwe huru...
Kwanza nimefurahishwa na uamuzi wa Rais Kikwete kuhusu uamuzi wake wa kuhakikisha kwamba tunakuwa na katiba mpya.Hii inajenga msingi imara wa maendeleo ya demokrasia pamoja nauwajibikaji wa...
Jamani mbona Tanzania tunawasomi wengi ...naona mijadala yote ni Chenge...kikwete...mkapa... Karamagi...accacia....
jamani... hiki ni kipindi kizuri cha kudai katiba mpya ... lazima watanzania...
Rasimu ya pili ya katiba ya Warioba ilipendekeza ili kudhibiti uingiaji mikataba mibovu kabla ya kusaini mikataba inabidi ikajadiliwe bungeni, ili kuiponya nchi kwa muda mrefu hata usipokuwepo...
Mhola mhola..
Natumai mko salama mkitafakari na kujadili kwa umakini ripoti iliyotolewa leo juu ya makinikia, iliyolenga zaidi masuala ya kiuchomi na kisheria.
Moja kati ya mapendekezo ya kamati...
Ukisikiliza hotuba ya JPM ya kumwapisha Mama Anna Mghwira kuwa RC wa Kilimanjaro. Hapo utagundua huyu rais anapandikikiza chuki kwa jamii na kuona kwamba huyu rais anachukulia upinzani ni uadui...
Ndugu wana jamii forum,kama tunataka kama taifa kuondokana na mikataba mibovu ya madini,inayoleta hasara ikiwemo ishu ya mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje.Dawa ni kuwa na katiba MPYA
Siku hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.