KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Pamoja na kuwa swala la Tume Huru ya Uchaguzi kuwa ni swala la kikatiba zaidi,je haiwezekani kutumia vifungu vya katiba hii ya sasa na sheria ya uchaguzi pamoja,sheria ya Tume ya Uchaguzi na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Jaji mstaafu, Sinde Warioba yuko ukumbi wa Makumbusho katika mwaliko wa kongamano la wanawake katika uongozi kuzindua kitabu alichoandika dibaji kilichoandikwa na professa Meena...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimeangalia mwenendo wa masuala mbalimbali katika nchi yetu nimepata jibu moja tu nalo ni "Sasa ndo wakati muafaka wakupata katiba Mpya" Kuna mengi yanatokea, yanafanywa lakini pamoja na hayo...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Wiki iliyopita wabunge wote pamoja na mawaziri mliungana pamoja ili makonda na mwenzake waje bungeni. Wengi tulifurahishwa kwa hatua ya mshikamano huo. Kama kweli mnania njema na taifa na siyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tukiacha ushabiki, kila mtu hawezi kubisha kwamba kasi ya usimamizi na utekelezaji wa shughuli na sera anazofanya Mh. JPM kwa sasa, na akipata Katiba Mpya tena ile ya Warioba akaisamia haswaaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salamu. Tayari nakala za katiba pendekezwa zimefika katika mamlaka za serikali za kata. katika kata ninayoishi ambayo ndo inatengeneza makao makuu ya wilaya, mtendaji kata pekee ndiye...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WIKI iliyopita, mwanahabari nguli nchini na kimataifa, Tido Mhando, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media inayomiliki televisheni ya Azam na Radio Azam, alifanya mahojiano katika Ikulu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitila Mkumbo Bado tuna safari ndefu sana ya kuwaelewa CCM. Yaani kuna mtu alitarajia kwamba Sitta angetenda tofauti na wanavyotenda CCM? Yaani kuna watu walijifanya kusahau kwamba Sitta ni...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
1. Kupunguzwa kwa madaraka ya rais Wananchi walipendekeza madaraka makubwa ya Rais hasa ya uteuzi yapunguzwe na ziundwe taasisi za kikatiba za kumshauri rais kabla hajafanya teuzi. Wananchi...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Ndugu zanguni, Nimeshangazwa sana na ukimya wa hawa jamaa zetu ambao kila kukicha walikuwa wakiandamana na vidumu vya tindikali wakidai kujitenga na kuwa hawautaki muungano, mara ooh watanganyika...
24 Reactions
241 Replies
20K Views
Salaam Wanajamvi. Ni maneno ambayo yameaandikwa kwenye Gazeti la Mwananchi Januari 04,2017, kuwa eti Rais Magufuli anatekeleza Katiba Mpya. Polepole anataka kutuaminisha kuwa hakuna haja ya...
3 Reactions
82 Replies
8K Views
Wednesday, January 4, 2017 Polepole : Maoni ya Katiba Mpya yafanyiwa majaribio Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole Kwa ufupi Akizungumza katika kipindi cha Mada Moto...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Serikali ya Tanganyika ipo kisheria Mwaka 1964 Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika walikubaliana kuanzisha ushirika wao unaoitwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
MTANZANIA: Imekuwa ni kawaida kwamba ukitaka uongozi ndani ya CCM lazima uwe na uwezo wa fedha, mmejipanga vipi kuondoa dhana hii iliyojengeka na Watanzania wategemee nini? POLEPOLE: Wananchi...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu wadau habari zenu... Pasipo kupoteza muda nianze kwa kujitambulisha kuwa mm ni mtanzania halisi, mzalendo wa kweli na mwenye nia njema ya kupata taifa lenye malengo, maadili, na maendeleo...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wana JF, awali ya yote, salaam, na pia niwatakie heri ya krismasi na mwaka mpya 2017. Siku chache zilizopita Rais Magufuli amemteua mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba kuna watu au kundi la watu halitaki kusikia kabisa hii kitu, Lakini kuna mwamko Mkubwa sana na spirit iliyowajaa watanzania katika haji ya juu kutaka kupata katiba mpya...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwanza nimpongeze Mhe.Rais wa Awamu ya nne kwa hatua aliyofikia ya kutuletea Katiba Mpya. Ni wakati muafaka sisi wananchi KUDAI KATIBA MPYA. Katiba mpya ndiyo itakuwa suluhisho la kila kitu ili...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
... Leo nimemsikiliza Kwa makini sana Ndugu Polepole katika kipindi cha asubuhi maarufu kama 360 cha Clouds tv ... Kwanza nampongeza Kwa kujibu maswali mengi vizuri sana na kwa facts kama kawaida...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
https://www.facebook.com/photo.php?v=10201998746074144&set=vb.1350474080&type=2&theater
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Back
Top Bottom