KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kwa yeyote atakayosoma uzi huu naomba ahakikishe ameuelewa kabla ya ku changia, kumekuwa na kilio cha wengi kuomba mabadiliko ya katiba ile ya mwaka 77, wiki kama mbili zilizopita ilitoka ripoti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye Leo bwana Humphrey Polepole ndo ameyazika au ameyazima rasmi kile alichokiitaga yeye mwanaharakati wa kutetea katiba mpya baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya ndg nape nnauye aliyekuwa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Tulidhani tuko pamoja, kumbe wengine wanataka kutengeneza katiba yao, na tayari walikuwa nayo mfukoni mwao. Unapenyezaje mamluki kibao ktk kuunda katiba ya wote tena ktk hatua ya awali ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upinzani bila Katiba Mpya Msitegemee Kuishinda CCM na wakubali Kuachia Madaraka... Huu ndio Muda wa Kudai Katiba Mpya..... Tatizo la Viongozi wengi wa ccm ni kwamba wanategemea siasa kuendesha...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Nimeshangazwa Na kauli ya Waziri wa Sheria Na Katiba Bw.Mwakyembe akidai eti mchakato wa Katiba umesimama ili kupisha ujenzi wa uchumi wa nchi.Nashindwa kumwelewa Mh.Waziri je uchumi wa Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri wa katiba na sheria amesema katiba mpy ni muhimu imalizwe lakini kwa kuwa rais alishasema kuwa anainyoosha nchi hawezi kumpangia ni kipi cha kuanza nacho. Sababu itamnyima uhuru.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kitengo cha ulinzi na usalama cha Bunge kimetoa taarifa ya kukanusha, tuhuma zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimhusisha Mbunge wa Bunge maalumu la Katiba ndugu Paul Makonda kuhusika na...
4 Reactions
47 Replies
8K Views
Wana jamvi Amani iwe kwenu Kutokana jitihada anazofanya Mh Rais Dr John P.Magufuli katika kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali za utendaji, lakini ili mabadiliko hayo yawe endelevu na...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Nauliza swali ili baada ya kuwepo baadhi ya vyama vya siasa kuanzisha harakati za kudai katiba nda ya vyama vyao na kutoa maelekezo kwa viongozi wa vyama hivyo, Nafikiri nafikiri viongozi hao...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Novemba 4 mwaka huu Rais John Pombe Magufuli alikutana na wahariri Ikulu jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa maswali aliyoulizwa lilikuwamo la mchakato wa kupatikana Katiba Mpya. Rais alijibu...
1 Reactions
0 Replies
915 Views
Jukwaa la katiba nchini limempongeza Rais Dk. John Magufuli kwa juhudu zake kubwa anazozifanya kuirejesha nchi katika sehemu inayostahili na hivyo ina imani kuwa hayo yote yataweza kuwa katika...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Sorry jamani mwenye katiba iliyopendekezwa na Jaji Warioba anitumie.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Taifa linapitia kipindi kigumu mno kiuchumi na kidemokrasia, Washika kalamu kufikisha ujumbe wanakamatwa wanafungwa au kuteswa kwa makosa ya mitandao ya kijamii huku yeye akiomba malaika washuke...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Samahani ndugu zangu, hii ni hurka tu ya baadhi yetu wanadamu kuwa; tukianza jambo huwa hatuna amani mpaka tulimalize. Sisemi hivi kama njia ya kuwadharau wale wengine ambao wao hata wasipomaliza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakika sikutegemea Mwanasheria aliyabobea katika masuala ya Sheria Na Waziri wa Sheria Na Katiba Mh.Mwakyembe angetamka maneno hayo yeye.Mh.Mwakyembe alipaswa kuwa mstari wa mbele kumshauri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huo ndio ukweli hutaki unaacha.RIP mzee Samwel
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ni mwaka sasa tangu mtukufu raisi aingie madarakani lakini hatujui hatima ya katiba ya wananchi ya jaji warioba na si ya pendekezwa....tunaitaj katiba mpya mzee...
1 Reactions
0 Replies
952 Views
"Kuifufua Tanganyika ni Kuiua Tanzania,Sikubaliani Kabisa na Swala hili,Kwa Sifa tu na Uroho wa Madaraka na huku Wakishabikiwa na Mazuzu kuna watu Watafanya Kila hila Zanzibar Ijitenge na...
12 Reactions
169 Replies
29K Views
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana,Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa.(Picha:Maabara)...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Back
Top Bottom