KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Tanzania ni jina ambalo limetokana na nchi mbili yani zanzibar na tanganyika ( kwasasa tanganyika wanatumia sana jina la ubatizo yani tanzania bara). leo nataka tujadili jina ambalo walipendekeza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
..Humphrey Polepole "alikuwa" ni mmoja wa watu walioipinga "katiba inayopendekezwa" kutoka "bunge maalum la katiba" ..mpaka muda huu bado "kura" ya maoni haijapigwa.Je,Humphrey kama "Mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ipo haya, Katiba mpya ingeruhusu ile mikoa inayoongozwa na vyama fulani(upinzani),viwe vinatoa mpaka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya. Maana uwezi ukawa na asilimia kubwa ya watawala katika mkoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kinaanza mchakato wa kudai katiba mpya katiba pendekezwa ya wananchi kwani ndio suluhu ya mambo yote yanayoendelea na figisufigisu zilizoendelea...
5 Reactions
101 Replies
10K Views
Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam jana walijitokeza kumlaki mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibroad Slaa, ambaye wakati akihutubia wananchi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Majadiliano ya Taarifa za Kamati za Bunge Maalum la Katiba yanaendelea leo tarehe 11/09/2014. ===== Akitoa mchango wake kwenye Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa TCD na UDP John Momose Cheyo...
1 Reactions
95 Replies
14K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Leo ni siku muhimu sana kwa historia ya nchi yetu ambapo historia mpya itaandikwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Mheshimiwa Andrew Chenge...
4 Reactions
200 Replies
23K Views
Wanawake waliokuwa wajumbe wa BMK wamewaangusha wenzao.Wengi walikuwa hawajitambui walichokuwa wanafanya na kilichowapeleka bungeni.Ndiyo maana baada ya kupatikana kwa 2/3 walifurahi na...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwa ukimya huu hivi ni kweli tulihitaji katiba mpya? Kumekuwa na kawaida katika nchi hii Raisi akiwa ni wa Dini ..... lazima asumbuliwe sana na media, watu wa haki za binadamu, wanaharakati...
6 Reactions
83 Replies
8K Views
Katiba mpya imemaliza mahela mengi akuna anayezungumzia tens au magufuli amejibu haja za wananchi
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Habari za majukumu Wana Jf na wazalendo wa kweli,Poleni kwa kupaza sauti kutaka kunusuru jasho letu kwenye kodi lisipotee huko dodoma,Narudia Poleni sana maana Mh.Sitta na kambi yake wamegoma Katu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi naomba kuuliza swali. Hivi ile michakato ya katiba mpya, iliyogharimu mabilioni ya shiringi za walipa kodi iliishia wapi? Manake naona katiba mpya haizungumziwi tena! Imefika mahali mtu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
(1.)Hivi kitendo cha mtu mzima kusema anamshukuru rais Magufuri kwa kuweza kuchagua mkoa wa MBEYA kuwa SEHEMU YA KUPATWA KWA JUA halina uhusiano na akili za watanzania wengi ambao wanadhani...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Taifa sasa linapitia hatua zinazothibitisha umuhimu wa kuwa na Katiba imara! Katiba nzuri itakayotengenezwa na kuridhiwa na wananchi wengi na kisha ikatumika ipasavyo itasaidia kurekebisha kasoro...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania popote msomapo Makala haya: Wiki iliyopita katika makala yangu nilizungumzia Uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) hata bila ya kuwa na hati za awali za...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari ni kuwa wake wa marais waliowahi kuongoza TZ na ZNZ wamealikwa kesho na wamegharamiwa lakini cha ajabu kwenye mwaliko huo hatokuwepo mke wa Marehem Idrissa Abdul Wakil na wala hatokuwepo...
3 Reactions
47 Replies
15K Views
Wakuu JF Amani iwe Nanyi. Tunapozungumzia katiba Mpya katika kipindi hiki ambacho Serikali 3 haziepukiki. Binafsi nimekuwa nukijiuliza sana ni kwanini Mzee Aboud Jumbe Yuko Kimya sana. Hii ni...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakati wa taarifa ya habari namuona mwkiti na skafu yake kashika maiki anahamasisha kazi kazi no maandamano no ukuta...ha ha haaa ...mwaka huu
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Katazo la kuwaingiza watoto kwenye siasa kwa kisingizio cha Chipuki wa Chama ni jambo ambalo nililipinga kwamba ni kukiuka haki za mtoto kwa kuanza kumjengea mtoto itikadi za vyama badala ya...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom