Ilikuwa "April 1972" Mh: Alhaji Aboud Jumbe Mwinyi alipotwaa madaraka ya Zanzibar na kuwa Rais wa awamu ya pili wa serikali ya SMZ mara baada ya Mh: Abeid Aman Karume kuuwawa, Septembar 5, 1975...
Binafsi nampongeza rais kwa hatua anazochukua za haraka kutibu gonjwa la nchi hii. Anachofanya ni sawa na yale aliyofanya mwl Nyerere, kuondoa unyonyaji dhidi ya wanyonge.
Mwl alchukua hatua hizi...
Jamani nahisi kuna umuhimu wa kuweka deni la taifa kwenye katiba kwa twaweza kutumia GDP kupiga hesabu ni kiasi gani kiwa cha mwisho kukopa kutokana nauwezo wetu kama nchi ,kuwe na exemption tu...
Kauli ya Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli kuwa atawalinda Marais wastaafu dhidi ya mashitaka inatia woga. Mamlaka ya Rais wa sasa asiyeshtakika yana uhuru mkubwa wa mwenye kuwa nayo kuibia nchi...
Dar es Salaam. Jukwaa la Katiba (Jukata) limeitaka Serikali kutangaza kwenye gazeti la Serikali tarehe ya kuanza upya kwa mchakato wa Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Bodi ya Jukata, Deus Kibamba...
Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers)
Imeweka mazingira kwa viongozi wa umma kuwa na fedha nje ya...
Habarini wakuu,
Nikiangalia namna ambavyo raisi Maghufuli anavyoteua teua viongozi kwenye nyazifa mbali mbali, inadhihirisha namna katiba yetu ilivyo na mapungufu. Yaani nyazifa nyingi na zote...
hiv kweli watanzania tunachagua viongoz au nn nashindwa kuelewa mtu anatoa hoja ya maendeleo mtu anapinga et maslah ya chama sahiv mtu anatoa hoja ndogo kwa kupinga katiba tafika kweli
INAMFANYA RAIS KUWA MUNGU NA CCM KUWA CHAMA PEKEE NCHINI
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Ibara ya 46 (1) inasema "Wakati wote Rais atakapokuwa ameshika madaraka yake...
Hivi ni kwa nini CHADEMA wameshindwa kwenda bungeni na kuintroduce sera yao ya majimbo? clearly suala la serikali tatu limeibua mjadala mzito na huenda hata likakwamisha mpango mzima wa kupatikana...
DC HAPI NDANI YA HOTMIX SAA 1:30 USIKU LEO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi atakuwa katika kipindi cha Hotmix cha EATV usiku wa leo akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo wilaya ya Kinondoni.
Jamani habari zenu.
Napenda kuuliza hivi zoezi la katiba mpya hsliwezi kufufuliwa?
Maana tume spend Pesa nyingi kwenye lile zoezi lkn matokeo yake tumeificha makabatini.
Mm kwa maoni yangu...
Kwa waliofutailia mdahalo wa Katiba wa mwezi uliopita ulimuweka kitimoto Makamu wa Mwenyekiti wa CC Taifa, Pius Msekwa. Kuna mwandishi wa habari aliongea mengi kuhusu yaliyomo kwenye katiba mpya...
Anapinga Watanzania walio nje kushikirishwa katika kura za maoni ya Katiba Mpya. Anasema Bungeni jioni hii kwamba logistics za kuwezesha zoezi hilo kufanyika dunia nzima ni gumu au haliwezekani...
Mh.Magufuli katika kampeni zako uliahidi unataka kujenga Tanzania Mpya.Ni wazo zuri sana tumelikubali.Ombi letu kwako Kwa kuwa una uchungu Na nchi hii tunakuomba ufikirie jinsi Kodi za walala hoi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.