Kwa muda mrefu mmejua akipiga kelele kwenye media akitetea katiba ile ya serikali tatu sijui nini kilitokea lakini naamini ni uchaguzi ndio ulifanya mnyamaze sasa naomba kutetea serikali tatu...
Binadamu wavivu siku zote huwa na tabia moja inayofanana, nayo ni Visingizio, siku zote hutafuta visingizio ili kuhalalisha kushindwa kwao kufaulu kwenye maisha, iwe kwenye kusoma, kufanya kazi au...
Wanabodi,
Wengine wetu huu mchakato wa Katiba, tangu ulipoanzishwa, tulisema humu, hauwezi kutupatia "Katiba Bora!" bali utatupatia "Bora Katiba!". Tuliowaaminia kule Bungeni tangu utungwaji wa...
Tunashauri katika Katiba ijayo sifa za wagombea ubunge zitazamwe upya kwani dunia hii ni ya sayansi Na teknolojia hivyo elimu ya kujua kusoma Na kuandika imepitwa Na wakati.
This is the time to think.
This is the time to work.
This the time to accomplish.
This is the time not to live a great life like your predecessors.
If you want the excitement of deep waters,
If...
Dalili Za Sera Ya Hapa Kazi Tu Imeonekana Kuleta Matumaini Kwa Wengi Hata Kwa Wale Waliokuwa Upande Wa Upinzani.
Sasa Kama Rais Magufuli Ataendelea Na Huu Mwanzo Alioanza Nao, Je, Kuna sababu...
Mchakato wa kuunda katiba mpya ulitangazwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Tume ya mabadiliko ya katiba ilichaguliwa na kutangazwa na Raisi wa Jamhuri...
Kuna Katiba Inayopendekezwa. Imekwama. Fedha na muda wa nchi vimezama. Mchakato umekosa manukato. Rais yuko kimya.
Hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa Bunge la 11 haikuonesha nia ya wazi ya Rais...
Ni diwani wa viti maalumu CUF Kasulu, anaitwa Ester Obed Kasyome ni hawala aka nyumba ndogo ya diwani wa Kata ya Ruhita CCM, Bw. Kabujanja. Pichani ni mtu wa pili kutoka kushoto akifuatiwa na...
Waziri mkuuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowasa amesema hakubaliani na Jaji Warioba kuhusu uhalali wa serikali tatu kama rasimu ya pili ya katiba inavyopendekeza.
Lowasa amesema...
Kwa mujibu wa Ibara ya 102(a) ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa, kila mkataba na makubaliano yaliyofanywa na mwanachana yoyote wa Umoja wa Mataifa lazima isajiliwe na kuchapishwa na Sekretariati ya...
Msaada wa Ndugu, katika hatua tuliyofikia
NAENDELEA KUSOMA:Ibara ya 42 ya Katiba ya JMT, 1977 kama ilivyofanyika marekebisho mara kwa mara inasema Rais akishatangazwa ataassume office mara moja au...
Tuliahidiwa kwamba hiyo katiba walioandika tutaipigia kura, mara kabla ya uchaguzi baadaye nikasikia siku ya uchaguzi mkuu.
Sasa siku nyingi sijasikia chochote. Je mpango bado upo au umepotelea...
Akiongea kwenye tafrija fupi ya kuishukuru timu ya kampeni pamoja na wananchi waliowaunga mkono Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alisema,
"Kwa kura za Rais kwa mujibu wa sheria za nchi hii...
Ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu, kama zilivyokuwa kwa chaguzi zingine zilizopita, pamoja na kutumia gharama nyingi, lakini pia zimeacha makovu mengi na hata kuhatarisha usalama wa nchi.
Pamoja...
KATIBA NIITAKAYO
1. SYSTEM OF ELECTION IBADILIKE
hapa Tanzania tumezoa first past the post FPTP ambayo anayeongoza kwa kura anachukua madaraka. kwa mtazamo wangu system hii ya uchaguzi ndiyo...
Kwa ushindi huu wa CCM, you can kiss katiba mpya yenye maoni ya wananchi goodbye!
Katiba mbovu ya CCM na mfumo mbovu utaendelea kuitawala nchi hii for the next 50-100yrs.
You will reap what you...
Kama kuna kitu ambacho wapenda mabadiliko nchini wanapaswa kujitolea kwa nguvu zao zote ni upatikanaji wa katiba mpya ya nchi kwanza.
Katiba ndio ingini ya kuleta mabadiliko, huwezi kuleta...
Katika kipindi cha 360 - Clouds Tv jana usiku kulikuwa na Prof Baregu na Humphrey Polepole wote wakiwakilisha vyama vyao ila kilitokea kituko kimoja ambacho sitakuja kusahau mara baada ya Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.