KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

nakuu kweli siasa mchezo mchafu ila kwa maana hii ukijaribu kuchafua ndio inakupoteza katika harakati za kutimiza matakwa ya mrengo wa pili na ambao walikua wafadhili wake hatimaye dr. slaa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kutupa maoni ya wananchi na kutengeneza katiba yao, Wanazazimisha akidi kwa nguvu,wanatulazimisha wananchi tuipigie kura katiba pendekezwa! Hapana aisee! Kwa dhambi hii naomba usiku na mchana ccm...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jamvi kati ya wabunge ambao ni majembe na wanaweza kukubalika ktk bunge lolote hapa duniani ni MHESH, DEO FILIKUNJOMBE, mbunge wa ludewa.alikuwa mbunge wa 1 wa ccm kukataa kabisa maagizo ya...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?
0 Reactions
135 Replies
11K Views
Wakati wakisusia Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikaririwa akisema, “Ukawa hatuwezi kuendelea kushiriki dhuluma dhidi ya wananchi kwa kupitisha Katiba ambayo...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
Nazidi kuamini zaidi Kwamba kuna Mtu/Watu wamesaidia kutengeneza Shimo la Fedha ambazo Ni Nyingi mno zinazosaidia Bunge la KATIBA Kufanya kila inalojisikia kufanya hususani Matumizi ya Fedha...
1 Reactions
69 Replies
12K Views
UKAWA wanadai kuwa wanadai katiba ya wananchi, je wanaCCM co wananchi? UKAWA hawaoni wanaCCM ndo wengi kwa maana kwamba ndio wanaowakilisha wananchi wengi huko BMK kwani walichaguliwa na...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Watanzania wameonesha kutaka Tanzania mpya kupitia maoni yao ya katiba. CCM wakafuta na kutupilia mbali kabisa matakwa ya watanzania. CCM hawataki Mabadiliko wala mageuzi yatokanayo na wananchi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Sasa kama hili limeshidikana ccm kuwaamini kwa LIPI jamani? Hivi wanashawishi nani huyo asiyejitambua kuwapa kura? Sizungumzi huduma za kijamii ambazo hata watoto wadogo wa shule za msingi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Matokeo ya uchaguzi 25 October 2015 ndipo tutajua majaliwa ya hitimisho ya mchakato wa Katiba Mpya. Kama atakuwa ameshinda Maghufuli basi wote waliokiomba tupate katiba ya wananchi yaani ya rasmu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naskitika kuona UKAWA hawatolei tamko maneno ya ambayo yalisikika kwenye kampeni za upande wa pili kwamba mkiwachachua nchi itakuwa kama Libya. NINACHOAMINI ni kwamba UKAWA wanajua wana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Usomi wamtu yoyote yule dunia hueshimiwa na pia usomi wake upuuzwa na kuonekana ujinga haya yote msomi anaweza kuyataka mwenyemwe. Inashangaza Shvji ambye alikuwa na msimamo na alitamka mwenyewe...
11 Reactions
93 Replies
11K Views
Wakati wa sherehe ya kukabidhiwa katiba inayopendekezwa nilijisikia aibu ambayo nina miaka mingi kujisikia aibu namna ile. Ukweli ni kwamba awamu hii ya utawala ndo tumeona nchi yetu inaongozwa...
4 Reactions
62 Replies
11K Views
Ukawa hawakuhudhuria bunge maaluum la katiba na posho zao hawakuchukua, hizi posho zao ziliishia mifuko ya akina nani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa mara ya kwanza duniani, tanzania tumempata rais kichwa, jiniaz wa nguvu, rais anayejua hadi mimba zilizotungwa na watoto watakaozaliwa, anajua kuna mayai ya samaki mangapi, n.k hatutaki mtu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Rasimu Ya Katiba Facebook Page Is Conducting Online Survey Polls for Tanzania General Election 2015. Spare Few Few Minutes To Vote For Your Favourite Candidate! Voting Closes On October 20th |...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi. Sichukii dini na imani za watu lakini...
16 Reactions
318 Replies
34K Views
Habari! Kama wewe ni mpenzi wa siasa tuma jina na namba yako ya simu nikuunge kwenye group la Jukwaa la siasa tujadili hoja mbalimbali za kisiasa. +255713922695
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wote ni mashuhuda. Wote mnajua. Mnajua ulivyokuwa msimamo na mtifuano wakati wa mchakato wa Katiba mpya. Mnayajua,kuyahifadhi na kuyakumbuka maneno na matendo ya wanaCCM kuelekea kwa Wajumbe wa...
13 Reactions
43 Replies
6K Views
baada ya pro.lipumba kuididimiza ukawa nimeamini maneno ya ndugu yangu zitto. looh! nini maoni yako juu ya lipumba?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom