nakuu kweli siasa mchezo mchafu ila kwa maana hii ukijaribu kuchafua ndio inakupoteza katika harakati za kutimiza matakwa ya mrengo wa pili na ambao walikua wafadhili wake hatimaye dr. slaa...
Kutupa maoni ya wananchi na kutengeneza katiba yao, Wanazazimisha akidi kwa nguvu,wanatulazimisha wananchi tuipigie kura katiba pendekezwa! Hapana aisee! Kwa dhambi hii naomba usiku na mchana ccm...
Wana jamvi kati ya wabunge ambao ni majembe na wanaweza kukubalika ktk bunge lolote hapa duniani ni MHESH, DEO FILIKUNJOMBE, mbunge wa ludewa.alikuwa mbunge wa 1 wa ccm kukataa kabisa maagizo ya...
Najiuliza endapo Rais ajaye akiikataa katiba pendekezwa je anaweza kutengua maamuzi ya Rais aliyemtangulia je sheria inasemaje? Au lazima arudishe mswaada bungeni?
Wakati wakisusia Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikaririwa akisema, Ukawa hatuwezi kuendelea kushiriki dhuluma dhidi ya wananchi kwa kupitisha Katiba ambayo...
Nazidi kuamini zaidi Kwamba kuna Mtu/Watu wamesaidia kutengeneza Shimo la Fedha ambazo Ni Nyingi mno zinazosaidia Bunge la KATIBA Kufanya kila inalojisikia kufanya hususani Matumizi ya Fedha...
UKAWA wanadai kuwa wanadai katiba ya wananchi, je wanaCCM co wananchi?
UKAWA hawaoni wanaCCM ndo wengi kwa maana kwamba ndio wanaowakilisha wananchi wengi huko BMK kwani walichaguliwa na...
Watanzania wameonesha kutaka Tanzania mpya kupitia maoni yao ya katiba. CCM wakafuta na kutupilia mbali kabisa matakwa ya watanzania. CCM hawataki Mabadiliko wala mageuzi yatokanayo na wananchi...
Sasa kama hili limeshidikana ccm kuwaamini kwa LIPI jamani? Hivi wanashawishi nani huyo asiyejitambua kuwapa kura?
Sizungumzi huduma za kijamii ambazo hata watoto wadogo wa shule za msingi...
Matokeo ya uchaguzi 25 October 2015 ndipo tutajua majaliwa ya hitimisho ya mchakato wa Katiba Mpya.
Kama atakuwa ameshinda Maghufuli basi wote waliokiomba tupate katiba ya wananchi yaani ya rasmu...
Naskitika kuona UKAWA hawatolei tamko maneno ya ambayo yalisikika kwenye kampeni za upande wa pili kwamba mkiwachachua nchi itakuwa kama Libya.
NINACHOAMINI ni kwamba UKAWA wanajua wana...
Usomi wamtu yoyote yule dunia hueshimiwa na pia usomi wake upuuzwa na kuonekana ujinga haya yote msomi anaweza kuyataka mwenyemwe.
Inashangaza Shvji ambye alikuwa na msimamo na alitamka mwenyewe...
Wakati wa sherehe ya kukabidhiwa katiba inayopendekezwa nilijisikia aibu ambayo nina miaka mingi kujisikia aibu namna ile. Ukweli ni kwamba awamu hii ya utawala ndo tumeona nchi yetu inaongozwa...
kwa mara ya kwanza duniani, tanzania tumempata rais kichwa, jiniaz wa nguvu, rais anayejua hadi mimba zilizotungwa na watoto watakaozaliwa, anajua kuna mayai ya samaki mangapi, n.k hatutaki mtu...
Rasimu Ya Katiba Facebook Page Is Conducting Online Survey Polls for Tanzania General Election 2015.
Spare Few Few Minutes To Vote For Your Favourite Candidate!
Voting Closes On October 20th |...
Ndugu zangu, nimeshtushwa sana na habari niliyoisoma hata jukwaani kwamba ccm inaandaa sura mpya katika katiba ya nchi itakayosimamia mahakama ya kadhi.
Sichukii dini na imani za watu lakini...
Habari!
Kama wewe ni mpenzi wa siasa tuma jina na namba yako ya simu nikuunge kwenye group la Jukwaa la siasa tujadili hoja mbalimbali za kisiasa. +255713922695
Wote ni mashuhuda. Wote mnajua. Mnajua ulivyokuwa msimamo na mtifuano wakati wa mchakato wa Katiba mpya. Mnayajua,kuyahifadhi na kuyakumbuka maneno na matendo ya wanaCCM kuelekea kwa Wajumbe wa...