Nilitamani mke wangu na mtoto wangu wawe na uraia wa nchi mbili lakini sasa rasimu yenu(TZ) imeniangusha. Sasa mke wangu atakuwa akichukuliwa kama mgeni kwenye nchi yake.
Huo umoja wenu ipo siku utafirisika maana kuna watu humo wako kimaslahi ya matumbo yao na hawa tuna waita WACHUMIA MATUMBO, hasa hasa hao viongozi wa CHADOMO maana ripoti ya CAG hivi majuzi...
Hii ni sehemu ya hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, kinana katika viwanja vya Gombani ya Kale, Pemba.
http://youtu.be/gSl5Pl-1Eh4
SIKU moja baada ya viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya...
Naamini kwamba great thinkers pekee ndiyo watakao nielewa vizuri.
Kutokana na mambo yanayo endelea UKAWA nimeamini kuwa wanasiasa ni walaghai na wanafiki wakubwa. Lowassa amefanikiwa kuwagawa...
Kijana mmoja mkoani Geita amekamatwa na wananchi akiwa na shahada 37 za kupigia kura alizokuwa akidurufu katika Stationery yake.
Haijafahamika mara moja lengo la kijana huyo lkn kamanda wa...
Nimelisema hili kwa dhati sana, kwani kuna baadhi ya watu, tena raia halali wa Tanzania ambao wamedhamiria kuususia mchakato mzima wa kuipigia kura rasimu ya katiba kwa dhana ya kuikomoa serikali...
1. Space exploration
2. Atomic energy
Ni dhahiri kuwa waandishi wa katiba mpya hawakutazama mbele Tanzania itakapokuwa nchi iliyoendelea kisayansi na kiteknolojia. Wao walidhani tutanaki kuwa nchi...
Kwa falsafa ya lowassa ya maamuzi magumu ni wazi baada ya uchauguzi mkuu Octoba kama atakuwa candidate wa UKAWA.
Waislam wote watanzania kiu yao ya mahakama ya Kadhi itakuwa imekatwa rasmi.
Na...
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania...
1.kilimo kwanza badala ya tatizo la shule za kata.
2.Vitambulisho vya Taifa badala ya Hospital na madawa
3.Katiba badala ya mikopo ya wanafunzi
4.BVR badala ya tatizo la waalimu
5.Kigamboni...
Kwa sababu ya kukosekana uwazi na kanuni kupindishwa kwa maslahi ya wachache, sasa watia nia wote wa CCM matumbo moto kwa sababu hawana hakika majina yao yatakatwa katika hatua gani!
Hivyo...
Hivi km hawa jamaa wanaandika intellectual paper and books,wakiwa na fikra za riwaya..yaani wanaaandika km wanaandika riwaya tuu.Hembu fikiria km Mwakyembe.Halafu wakati umepita anakuja amua sema...
Zimepatikana habri za kutatanisha kuwa ndoa ya UKAWA imevunjika rasmi jana baada ya kuwa na utata na msuguano mkali kuhusu mgawanyo wa majimbo, ruzuku, kuteua mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA...
Usanii wa Mchakato wa Katiba Kinachoendelea ni usanii uliopangwa na Marekani kwa kutumia vyama vyake vya CCM ‘A' na CCM ‘B' (CUF). Usanii huo chini ya mpango wa Marekani una dhamira...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kama Katiba Inayopendekezwa Ingepitishwa, hakuna kipolo ambacho kingesalia kwenye kero za Muungano...
Najua chaguao lako ilikuwa Membe, lakini ulipomwaga ugali kwa kumtosa EL, EL friends wakamwaga mboga kwa kumtosa Membe. Bahati nzuri msuguano huu umezaa tunda lenye matumaini walau kwa watanzania...
Ata ccm wakichukua urais, wajue kuw 85% ya wabunge watakuw ni UKAWA, lkn sidhani km watachukua kt cha urais, sema kuna watu watatuangusha, hawa bhana bodo wanafikra potofu eti UKAWA wakichukua...
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!
Mtu intelligent yoyote anapaswa...