Katika moja ya pitapita zangu kwenye social networks nimekutana na hii post ambayo kwa hakika imenikosha sana. Hiki alichokiongea huyu mdau kwa kiasi kikubwa kina ukweli ambao tulio wengi...
Wakati Tanzania ikitoa macho kwa mshangao juu ya uchotwaji wa fedha za escrow; Mimi sishangai sana kwani hayo ni matokeo ya katiba mbovu inayoacha mianya ya kuandika mikataba mibovu.
Kwa...
Wanabodi,
Naona mpaka sasa hizi hotuba mbili, zimeleta changamoto ya aina yake kwenye mjadala wa katiba mpya!.
Naomba kuwauliza wale wenye uwezo wa "to read in between the lines", kwa ku...
Licha ya baadhi ya watu hususan kutoka kambi ya upinzani kudai kwamba Katiba Inayopendekezwa imelenga kukinufaisha Chama Cha Mapinduzi, napingana nao pia naomba Watanzania waisome kwa umakini...
1--UKAWA ni nini...chama cha siasa au ni umoja wa vyama vya siasa usiotambulika kama chama cha siasa
2--Je kwa dalili tunazoziona UKAWA watasimamisha mgomea mmoja wa nafasi ya urais miongoni mwa...
lA KUVUNDA HALIANA UBANI! WIZARA YA SHERIA NA KATIBA WIKI HII INAGAWA MAELFU YA NAKALA YA KATIBA PENDEKEZWA KATIAKA WIZARA MBAL2 HAPA MJINI.
HIVI SI WLAPANGAWAPIGE KUA 3 APRIL ...HIZ NAKALZILIKUWA...
Tanzania ni kati ya nchi nyingi duniani zinazojali demokrasia ya kuwa na vyama vya siasa ambavyo ndivyo vinafanya kazi kwa mujubu wa kisheria. Katiba Inayopendekezwa haijaliacha suala hilo nyuma...
Mfumo wa ccm hauwezi kubadilika,kama ccm imekataa rasimu ya wananchi iliyoandaliwa na wataalamu wa sheria akina jaji warioba,Paramaganda Kabudi,Salm Ahmed Salm,Othman na Humphrey polepole...
wakati watanzania wameanza kuonyesha nia ya kuongoza nchi hii ni wazi kuwa watanzania tunaendelea kuunda makundi tena tukiwekeza sana katika kuutafuta uraisi.
huu sio mwelekeo mzuri kama ndani ya...
Tanzania imekuwa nchi ya kupigiwa mfano ndani na nje ya Bara la Afrika kwa kuwa na Amani na Utulivu uliotukuka kutokana na uthabiti wa Ulinzi na Usalama.Kwenye Katiba Inayopendekezwa ile Ibara ya...
Baada ya kutembea karibu Tanzania nzima, nadiriki kusema ya kwamba wanaoshabikia kura ya maoni yoyote ile iwe katiba au sijui nini hawaishi nchi hii ya Tanzania!
Tuchukulie kwa mfano hii...
Mhadhama kadinali pengo,heshima kwako,kama ulivyokemea tamko la maaskofu kuwataka wananchi kuipigia kura ya hapana katiba pendekezwa,tunakuomba uikememee serikali kwa matangazo yao na wito wao...
Kitendo cha Chama cha Wananchi (CUF) kufanya uchaguzi wa Kura za Maoni katika majimbo ya Kawe na Ubungo yanayoshikiliwa na wabunge wa Chadema, kimeibua hisia tofauti miongoni mwa vyama vinavyounda...
Wana jamvi naomba mwenye data za prof kigoma malima juu ya msimamo wake juu ya mfumo wa muungano atuwekee humu,je yeye alitaka mfumo wa muungano wa aina gani?
Habari wana jf.
Wana jf em tusiwe wanafki juu ya alichokizungumza kiongozi wa upinzani Mh Tindu Lissu katika hotuba yake ya mwisho.
Hivi kama kweli sheria hairuhusu/haimruhusu Rais kutengua au...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa wala...
Ibara ya 124,(1)Kutakuwa na serikali za Mitaa katika kila mkoa,manispaa,Wilaya,mji na kijiji katika Jamhuri ya Muungano ambazo sheria zitakuwa za aina na majina yatakayowekwa na sheria...