Wasomi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wamesisitiza umuhimu wa kutolewa kwa elimu ihusuyo Katiba Inayopendekezwa kabla ya kupiga Kura ya Maoni. Wasomi hao wamesisitiza kuwa kwa kufanya...
Kati ya mambo ambayo yananishangaza ni baadhi ya viongozi wa Asasi na Taasisi za Kiraia kusahau majukumu yao na kuanza kuwa wasemaji wa vyama vya Siasa, hili la Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC...
Katika mambo ambayo yamekuwa yakinikanganya nia haya ya warioba na tume yake ambapo mpaka sasa wamekuwa wakitumia majukwaa mbali mbali kusema kuwa yale waliyoyakusanya ni maoni ya wananchi...
Mara kwa mara nimekuwa nikiuliza huu umoja wa vyama vya upinzani wenyewe wameupa jina la Ukawa kama kweli viongozi wakuu wa umoja huu kama wapo sawa maana wanaonekekana kama vile wamelogwa na...
KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA!!!
TUACHE MASIHALA!!! HIZI IBARA 285, 286, 287 NA 288! ZIMEKAAJE IWAPO KATIBA HIYO ITAPITA KWENYE KURA YA MAONI???
Je! JK na wenzake kuendelea kula...
Leo nilijarib kujichanganya changanya na kujipitisha huku na kule katika maadhimisho ya sherehe ya miaka 51 ya muungano....kila mmoja alikua akiongea kuhusu tanzania kuendelea kuimarisha muungano...
Salaam za dhati Watanzania wenzangu,natumai mungu amewajaalia Afya njema na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.
Lengo la kijiwaraka hiki ni kusema nanyi watanzania wenzangu kidogo...
Pamoja na kuahirisha tarehe 30.4.2015 ya kuipigia kura katiba inayopendekezwa bado vijijini kumekua na sintofahamu juu ya katiba hiyo. Nitumie fursa hii kuiomba bunge maalum la katiba kua...
Wanabodi,
Kwanza naomba nianze na pongezi za dhati kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, kwa Mtangazaji Doto Bulendu wa Star TV kwa kipindi chake cha "Jicho Letu Ndani ya Habari" kinachorushwa live...
Ndugu zangu naombeni mnisaidie kuhusu hii KATIBA yetu inayopendekezwa ina SURA ngapi na IBARA ngapi?
Baada ya hapo ninaomba mnifafanulie kuhusu sura inayohusu Haki na Wajibu wa raia inakuaje...
Nawashangaa baadhi ya watu humu ndani wanapoteza muda wao mwingi kuikosoa katiba inayopendekezwa lakini cha ajabu kubisha kwao wala hakuna ushahidi wowote wanaouweka juu ya hoja zao wanazozitoa...
Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bwana Hamphrey Pole Pole amevunja ukimya na kusema Katiba ni ya Wananchi na si ya wanasiasa. Hebu mwangalie alivyotamka mwenyewe,"" Katiba hii...
Nimekuwa nikifuatilia mara kwa vyombo mbalimbali vya habari na kuona makundi ya wanawake na walemavu wakiendeksha makongamano na semina kueleza kile kilicho ndani ya katiba inavyopendekezwa...
Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema hatua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusogeza mbele tarehe ya Kura ya Maoni ya Katiba inayopendekezwa...
:dance:
Ndugu Mhariri, awali ya yote napenda kuipongeza serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kazi nzuri inayofanya kuhakikisha nchi yetu inakuwa na amani na wanachi wanapata maendeleo.
Nasema...
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI Taifa, Bwana James Mbatia amewasaidia kuwaondolea ujinga waliokuwa wakisema kuwa Katiba Inayopendekezwa ni ya Chenge na Sitta. Bwana Mbatia amesema kuwa...
Awali ya yote napenda kuwatoa wasiwasi Watanzania wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa na wasiwasi kama Katiba Inayopendekezwa itapigiwa kura ya maoni na kama uchaguzi mkuu...
 12:41
Akihubiri siku ya Pasaka
katika Kanisa la Full Gospel
Bible Fellowship lililopo
Mwenge katika Jiji la Dar-Es-
Salaam, Askofu Mkuu Zachary
Kakobe alisema kwamba,
inajulikana wazi...
Vijana wakiwemo na wazee wa Arusha wamevunja mzizi wa fitina kwa kuielewa katiba inayopendekezwa huku wengi wakisema kuwa hawaoni haja ya wao kuipinga na kuichukia katiba hiyo. Kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.