Katika pitapita yangu katika mitandao ya kijamii na sehemu za wasomi kama vyuo vikuu, UDOM, UDSM, SAUT, DUCE, Tumaini na TEKU nimegundua wengi wanaikubali Katiba Inayopendekezwa. Baadhi yao...
MTANDAO Wanawake na Katiba nchini pamoja na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) wamesema wanaunga mkono Katiba iliyopendekezwa na kujivunia hatua waliopiga katika kudai haki mbalimbali za...
Wakuu wa JF
Katika kupitia katiba pendekezwa nimekumbana na huu utata hususani katika sehemu ya Makamu wa rais
Ibara ya 99- inasema kutakuwa na Makamu wa rais watatu ambao ni
(a) Makamu wa...
Wana JF,
Angalia hii:
"Mwandishi Mkuu wa Katiba Pendekezwa, yeye mwenyewe amesema anapenda aitwe JOKA LA MAKENGEZA! Niliposikia juu ya Jina lake hili, nilipigwa na butwaa! Katika Biblia, Joka ni...
Tuisome Katiba Inayopendekezwa tuielewe vizuri na tusiburuzwe na Viongozi wa Dini au kundi lolote. Haya ni maneno yaliyosemwa leo na aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Amon Mpanju...
Askofu Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amepinga vikali kauli ya serikali kwamba maaskofu wamegawanyika kuhusu Kura ya Hapana kwenye Katiba Mpya.
Askofu Bagonza ambaye ni mjumbe wa CCT...
Hivi hawa jamaa vipi...wanaikataa katiba inayopendekezwa halafu wanataka vitu vilivyo kwenye katiba inayopendekezwa vitumike kwenye uchaguzi mwezi octoba
1:tume huru ya uchaguzi
2:matokeo ya rais...
Wadau wa JF Great Thinkers,
Kwa wale wanaotaka kuutambua ukweli ili ukweli uwaweke huru na wadumu ktk nuru hiyo daima wataafikiana na uwazi na wataukubali ukweli hata kama unawaumiza saana...
Nashawishik kuuliza swali hilo!baada ya kuhisi kuna baadhi ya watu kutokana na uchangiaji wao,Hamasa zao hasi kuhusiana na katiba pendekezwa inanifanya kuamini wazi kuwa hawana jibu la swali hili...
Akiwahutubia wananchi leo mjini iringa katika uzinduzi wa kampeni za jimbo la kalenga DK slaa amesema atazunguka nchi nzima kupinga posho kuongezeka zaidi ya laki tatu. nimestuka huyu amesahau...
Je wajua kuwa Katiba Inayopendekezwa imeeleza na kujibu masuala mbalimbali ya Usimamizi wa haki za binadamu ambazo watu wengi wanasema hazijaainishwa? Wanajukwaa tushirikiane kuwajuza Watanzania...
Historia itasomeka hivi: hapo zamani za kale serikali ya Tanzania...ilitaka wananchi wake waipigie kura ya maoni Katiba inayopendekezwa tarehe 30/04/2015, maaskofu na ukawa wakatia ngumu, na zoezi...
Siku zote nimekuwa nikijiuliza kwanini watu wanaamua tu kupinga katibapendekezwa!kumbe wengine ni vibaraka tu wala hata hiyo katiba yenyewe hawajaisoma!inakuwa Kama shabiki wa timu ya mpira...
Watanzania katiba Inayopendekezwa siyo ya CCM kama wanavyodai baadhi ya watu na kuwashawishi wasiipigie kura, acheni kuwasikiliza watu hao, Aprilli 30 jitokezeni kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo...
Vijana Morogoro waikubali na kuisifia Katiba inayopendekezwa. Vijana Mkoani Morogoro wamesema kuwa Katiba Inayopendekezwa ni nzuri sana kwani imewajali vijana hata masuala yao ya michezo. Kutokana...
SURA YA KUMI NA TANO
TAASISI YA UWAJIBIKAJI.
SEHEMU YA NNE
CHOMBO CHA KUZUIA NA KUPAMBANA NA
RUSHWA.
Ibara Ya 249.-(1) Kwa Madhumuni Ya Kudhibiti
Rushwa,Kutakuwa Na Chombo Ambacho
Kitakuwa...
Ulikuwa mhimili muhimu ndani ya bunge la katiba hakika kazi yako itakumbukwa daima....busara na elimu yako juu ya katibaa inayopendekezwa mazishi yatafanyika leo Mbagala
Makamanda na wana JF kwa mara nyingine natumia fursa hii kuwasalimia maana kitambo cjakuepo!!! Ha ha ha tuyaache hayo!!!
Katika soma yangu kwenye Katiba inayopendekezwa nimekutana na Ibara ya 280...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.