Hii inapatikana sehemu ya 3 ibara ya 13 (1-2) na nukuu
13-(1) lengo la katiba hii kiuchumi ni kujenga uchumi wa kisasa utakaowezesha wananchi na taifa kujitegemea kwa kuzingatia matumizi ya...
Hivi huyu jamaa mbona haeleweki siku hizi anajilalamisha sana....halafu ndugu yetu yule anatumwa maana kaja kasi na viclip vyake vya kujidai eti anataka kuuwawa....hivi who z he by the...
Wadau Em Nisaidieni kwa hili coz KATIBA Niliyonayo mimi hapa MAMBO YA IMANI NA UHURU WA DINI Yamezungumziwa Ktk Ibara Ya 40 (1) nakuendelea.Sasa hapa kuna utata coz wengne wanasema mambo ya IMANI...
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.
Askofu atangaza kufia katiba
• Ni Makamu wa Rais wa Baraza la...
Kwangu swala la muungano ni la kipuuzi hadi KuzuA mjadala na kuacha maswala ya msingi. Kwa maoni yangu muungano uvunjwe tu tuanze kujadili maswala ya msingi ya taifa. Historia inaonesha mataifa...
Wakuu; Nyie mnasemaje juu ya hili la katiba?
A) Tupige NDIYO kama wanavyodai CCM
B) Tupige HAPANA kama wanavyodai maaskofu wetu.
C) Tusipige kabisa kama wanavyodai UKAWA.
Yaani jibu...
Kama kuna mtu amekielewa vizuri kipengele kinacho elezea bunge La jamhuri ya muungano wa Tanzania. Nilitaka ufafanuzi kwani kinasema Tanganyika itatoa wabunge 70 je, nikutoka majimbo yapi? Au n...
Serikali imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba Inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika tarehe 30 Aprili...
Mwezi wa Aprili umefika na Bunge la Machi-Aprili limemalizika usiku wa kuamkia leo. Ni wakati mzuri watanzania tutumie muda huu kwendelea kutafakari maudhui iliyomo kwenye Katiba Inayopendekezwa...
KWA UFUPI
Akizungumza jana ikiwa ni siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema viongozi wa dini walitoa matamko ya hasira na yasiyokuwa na tija walipowataka wananchi kuipigia kura ya hapana...
MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM
Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa ...
Uteuzi wa Jaji wa Mahakama ya Juu
Uteuzi wa Jaji Mkuu
175.-(1) Jaji Mkuu atateuliwa na Rais kutoka orodha ya majina ya watu watatu yaliyopendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama.
(2) Jaji Mkuu...
Hivi karibuni nilimsikia yule mchambuzi nguli nchini mkinga akihojiwa kwenye tv. Mkinga aliwakosoa wale wanaosema kuwa katiba inayopendekezwa ipingwe kwasababu hakuna nakala za kutosha. Mkinga...
Salaam wana jamvi,sitaki kuandikia mate na wino upo, ndani ya katiba Pendekezwa tutafakari wote sura ya kwanza sehem ya pili:-
SURA YA KWANZA YA KATIBA PENDEKEZWA.
"SEHEMU YA PILIMAMLAKA YA...
Leo katika makanisa yote ya kikrstor tumesomewa waraka wa kichungaji au kwa jina lingine unaweza kuwiita waraka wa kinabidii,waraka huo ulibeba maudhui mengi mazuri sana lkn kilichonifurahisha ni...
Hii katiba mpya kwann wasiiache kwanza ili waendeleee kutafakari taratibu?,,,watanzania tambueni kwamba ni jambo la muhimu sana na la msingi sana,,,,,just think,,,,,,
Habari Zenu Wana Jf Wote!!
Mimi Binafsi Nimesoma KATIBA PENDEKEZWA Hadi Mwisho Na Nimezielewa Baadhi Ya Ibara Na Vipengele Vyake.
ILA. Kiukweli Bila Kuirudia Kuisoma Tena Kwa Makini Zaidi...
akiongea kwa mbwembwe andrew chenge alijiita ni nyoka wa makengeza na huwa halazi damu mbele ya fursa za kutoka kama wanavyoita vijana siku hizi.
naomba nimuulize huko kwenye katiba pandikizi...
TAnzania inapita katika kipindi kigumu sana sasa. Hii ni kwasababu siasa imeingizwa kwenye dini na dini kwenye siasa. Watu wanaongea kwasababu tu wanataka kujulikana. Unashangaa unaposikia askofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.