Habari Wana JF
Ndani Ya KATIBA PENDEKEZWA Nimeona Sana Sehemu Nyingi Zinazoelezea MASILAHI YA WAKUU NA MIFUKO YAO ...
Sasa Me Najiuliza Kitu Kimoja Kwamba Yani Kweli Pamoja Na Nchi Yetu Kuwa...
Akili Ya Kuambiwa Changanya Na Yako THEN Weka Unachokiona LIVE ....(you will get a good answer)
Hao Wanaokushawishi Ni Watu Kama Wewe Na Wana Mapungufu Kama Wewe Kwa Sababu Hakuna Aliyekamilika...
IBARA YA 8 : 2 (h) Aina Zote Za Dhuluma,Vitisho, Ubaguzi, Ukatili, Udhalilishaji, Unyanyasaji, RUSHWA, Uonevu Na Upendeleo Zinaondolewa Nchini.
Hii Ni Kitu Ambayo Haitawezekana Kwa 100%...
Wakuu!leo katika gazeti la mwananchi imeandikwa habari ya zitto kutangaza mali zake zote.Habari hii inasomeka kuwa Zito amesema anamiliki jumla ya 18 millioni,nyumba 2 zenye thamani ya shilingi...
akinukuliwa jana kupitia EATV
mwanasiasa machachari wa Tanzania
ambae hajapata kutokea mwanasiasa
anaeweka maslai ya taifa mbele
kama yeye alidai kwamba
-Yeye ndo aleanzisha ACT Tangu
yupo...
So, have you read the proposed katiba yet? Have you made up your mind? Is it aye or nay?
Please share your views on the proposed katiba. If possible please keep political parties out of it (avoid...
Wakuu,
Tangu mchakato wa Katiba Mpya uanze kumrkuwa na maswali mengi kuliko majibu! Kwanza Ilani ya Uchaguzi ya CCM, 2005 haikuwa na kipengele cha Katiba Mpya bali ilikuwa na suala la MAHAKAMA YA...
tuipigie kura ya ndio katika pendekezwa ambayo imesheheni mambo mengi mazuri ikiwemo maadili ya viongozi na miiko yake
KATIBA PENDEKEZWA NA MIIKO YA UONGOZI WA UMMA
(utii wa miiko ya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika...
Ndugu Mtanzania mwenzangu kumekuwepo na maoni tofauti katika JF na vyombo vingine vya habari kuanzia print na electronic kuhusu suala la kusogeza mbele kuara ya maoni. Binafsi naona NEC imekidhi...
Ndugu zangu wakulima kama mimi, wavuvi na wafugaji na wachimbaji madini, katiba imetutambua nashughuli zetu tuipe kura ya ndio ili tuepuke migogoro ya ardhi ya kila siku
haki zetu zinapatikana...
Ndugu wana JF yapo mambo mengi yanayotokea nchini kwetu, moja ya jambo ambalo watanzania tunatakiwa kufuatilia habari zake kwa umakini mkubwa ni lile linalohusu katiba Inayopendekezwa. Tunahitaji...
The current debate is about whether or not these Kadhi courts should be entrenched in the new constitution of Tanzania.
Confrontations rivalry on the mainland (Tanganyika) between the Muslims...
Baada ya malalamiko kuwa eti watanzania hawajaisoma katiba inayopendekezwa hiyo hawataweza fanya uamuzi sahihi....leo NEC wamesogeza mbele siku ya kura ya maoni till then...na huu ndo muda sasa...
Habari Zenu Wana JF.
Kwa Wale Walioisoma Hii KATIBA PENDEKEZWA Na Wakaelewa Kabisa Tunaomba UCHAMBUZI Japo Kidogo Kwanzia Sehemu Ya Kwanza Na Sura Zake Hadi Sehemu ya Mwisho
Please Alielewa...
Heko NEC kwa kutuongezea muda wa kusoma katiba na kufanya maamuzi sahihi.hakika hapa nawasifu kwa uamuzi wenu wa busara kutuongezea muda wa kuisoma na kuitafakari Katiba Inayopendekezwa pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.