Katiba pendekezwa sura ya Tatu,madaraka ya umma, kuanzia ibara ya 124 sehemu ya kwanza hadi 3. Binafsi naona masuala ya madaraka ya umma yapo wazi.sema ndiyo kwa katiba pendekezwa!zaidi ya hapo...
Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha...
Kwa mujibu wa Sheria ya Kura ya Maoni kampeni za NDIO na HAPANA zinaanza Kesho tarehe 31 Machi, maana kampeni ni siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura ya maoni ambayo ni Aprili 30.
Je unaijua...
SEHEMU YA TATU YA KATIPA PENDEKEZWA INAAINISHA MALENGO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KIUTAMADUNI NA INASOMEKA HIVI;
13.-(1) Lengo la Katiba hii kiuchumi ni kujenga uchumi wa kisasa utakaowezesha...
Katiba Yenyewe Imezidi Kutunyonga Sisi Wa Chini.
duh! ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.
KURA YANGU NI YA Hapana
VIJANA WANYA VIROBA :mvutaji:MSIKUBALI KUTUMIKA KISIASA!
KATIBA IMEWATAMBUA, TUMIENI NAFASI LEO SIYO KESHO
Katika taifa lolote vijana ni nguzo kuu ya kuleta maendeleo katika jamii husika...
Msanii wa muziki yenye mahadhi ya pwani (taarabu) amewataka wasanii wa mbalimbali kuungana na kuipigia kura ya ndio pendekezwa kwa kuwa ina maslahi mapana kwa wananchi.
Mzee Yussuf ameyasema...
Nimekuwa nikifuatilia majibizano mbalimbali ndani ya JF ambayo kwa namna moja au nyingine naona hayana tija kwa mustakabali wa taifa letu kutokana na wachangiaji kuishia kurushiana maneno na...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza kwa watanzania wenzangu, kwa sasa kila mtu kwa anaweza kutunufaika na maendeleo ya technolojia ya mawasiliano bila kujalisha yupo mjini ama vijijini,kwa sasa ni...
Katiba Inayopendekezwa inataja kipengele cha kuwajali Wasanii katika Ibara ya 59, ambapo haki hizi muhimu kwa wasanii zinajumuisha Haki-miliki ambazo zitawasaidia kulinda kazi zao za ubunifu...
JK akizungumza kwny mkutano wa kamati ya amani ya DSM alielezea kusikitiwa, kuhuzunishwa na kufadhahishwa na tamko la TCF la kuipinga katiba pendekezwa na m/kadhi. Kwa kwel wanaCCM wanatatizo...
Katiba inayopendekezwa haina shida na ni bora kwa maslah ya taifa ndio maana hawa jamaa wanakomaa na sheria.....na ndio maana wanatoa hoja za ajabu zisizoeleweka....kama wewe unaupeo wa kuelewa na...
Nimesikia Rais wetu Mhe Kikwete akisema akisema, serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi na kwamba ni Jukumu la waislamu wenyewe kuianzisha na kuihudimia.
Waislamu tumekuwa tukiburuzwa na...
Kusema ukweli katika maisha ya kila siku ya mtanzania,katiba hii pendekezwa ukiijadili bila jazba na kutoa povu la ushindan bila hoja ndo mbaya! Lakini kwa ustawi wa tanzania ijayo katiba hii...
Jukwaa la Wakristo Tanzania madai yenu kuhusu suala la ulinzi na usalama nawashauri muipate Katiba Inayopendekezwa na muisome kwa makini Katiba hiyo katika SURA YA 17 mtapata majibu mazuri ya...
SUALA LA URAIA LIMEFAFANULIWA VEMA KWENYE KATIBA INAYOPENDEKEZWA KAMA IFUATAVYO;
(a) Uraia katika Jamhuri ya Muungano.
( IBARA YA 70-71).
Suala la uraia limetamkwa kwenye Katiba...
WAWATIBU MALARIA KWA DAWA YA USINGIZI.
Mgonjwa wetu wa tanga, twamlilia nyikani.
Na nduguye ni majanga, ni yule wa visiwani.
Madokta wamewapanga, wawili wote wodini.
Wawatibu malaria, kwa...
Tarehe 30/4/2015 ni siku maalum ya kuipigia kula ya NDIYO/HAPANA katiba pendekezwa! Je mchakato wa kuandikisha vitambulisho utakuwa tayari Nchi nzima? Kama hakuna, Je wale wasiokuwa na...
Ndugu Watanzania, simebaki siku chache kufikia Aprili 30 ambayo ni siku maalum ya kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa. Kwa kuelewa umuhimu wa jambo hilo natoa rai kwa kila mmoja wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.