Madhara ya Katiba Inayopendekezwa kwa wagombea urais wa UKAWA hususan mh.Mbowe na Dk.Slaa ni makubwa na huenda ikasababisha kuenguliwa na Tume ya uchaguzi endapo watawekewa pingamizi. Mh.Mbowe kwa...
Sijui hazijafika? Au zinafichwa kwa faida gani. Hakuna hata copy moja sio library , kwenye idara au wakuu wa Schools. Tutapigia kura nini? Kazi ipo. Hapo ni kilometer 12 tu toka Magogoni je...
Nanukuu; 88.-(1)
(e) anayo shahada ya chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa kwa mujibu wa sheria, @au Awe na ujuzi na @uzoefu wa uongozi katika ngazi ya taifa itakayomwezesha @kumudu madaraka...
"21.-(1) bila kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (2), serikali na vyombo vyake, watu au mamlaka yoyote yenye kutekeleza madaraka ya utawala, kutunga sheria au ya utoaji haki, vitakuwa na jukumu...
Hivi bunge la Tanzania linaweza kuitwa bunge tukufu , au ni kilemba cha ukoka ? Kuipitisha Katiba kimagumashi na kibabe kwa kutumia otmeli na twita au whatsup kwa namahujaji kukanusha kupiga kura...
Naisubiri kwa hamu sana kura ya Katiba na ili nione Matokeo yake ambayo vyovyote vile itavyokua kwangu mimi itatoa picha ya nchi ya Tanzania kwa maana Viongozi wa Dini ya Kikristo wamewashawishi...
katiba ni sheria mama kwa nchi yoyote inayoongozwa kudemokrasia, ila ili katiba iwe nzuri lazima ijaribu kukidhi makundi yote ya binadamu. katiba ieleze wazi haki za watu, umiliki wa ardhi na...
Haki za mtoto zimekuwa sehemu ya sheria mbalimbali za nchi yetu.
Pamoja na kuwepo kwa Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009, Katiba
Inayopendekezwa katika IBARA YA 53 imeimarisha misingi ya kuzitambua...
Fikiri kwanza kabla ya kutenda, No research No Right to speak, Kimya Kingi kina mshindo mkuu. Hii ni baadhi ya misemo inayonifanya nije na usemi kuwa Katiba Inayopendekezwa Haizuiliki. Nimeisoma...
Peoples driven constitution ina tabia zake na kuu kuliko yote ni kuwa haipigwi na watu,kila moja anakuwa na shauku na ujio wake.Sasa hii ya Jakaya vipi?.Yaani ni mara yangu ya kwanza kuona katiba...
1.
Moja ya Katiba bora duniani ikilinganishwa na Katiba za nchi mbalimbali duniani kama vile Kenya, Uganda, Uingereza, Marekani
Imejielekeza katika kutatua changamoto za makundi yote katika...
Hawa ndio Viongozi wa baraza kuu la waislam lililoanzishwa na Serikali ya CCM wakiongea na waandishi wa Habari
Kwa waislam simaanishi ile NGO iliyoanzishwa na serikali ya CCM kuwawakilisha...
Kushiriki bila ubaguzi katika uchaguzi na ngazi zote za maamuzi [Ibara za 57 (c) na129(4)].
Fursa na haki ya ujira sawa na wanaume kwa kazi zenye sifa zinazofanana [Ibara ya 57 (d)]...
Mheshimiwa Dr. Kikwete,
Mheshimiwa rais, Katiba ni maridhiano- tumefundishwa mashuleni theories za social contract- Social Contract Theories as expounded by Hobbes, Locke and Rousseau and many...
Humu JF ukiangalia comment zote za members zinaonesha ni dhahiri watu wana mapenzi na nchi yao ndiyo maana nimekuja na thread inayotutaka sisi wanaJF kushiriki katika kutoa elimu kwa watanzania...
kimsingi utawala wa nchi ni mihili mitatu, lakini kwa mujibu wa katiba ya sasa na katiba inayopendekezwa kwa kuangalia mazingira ya tanzania tuna mihimili mitatu kinadharia lakini kivitendo tuna...
swali?ajiulize je makundi mengine yamepata haki?ubinafsi?rushwa kapewa?au ndo zile ela za kampeni za katiba
Msaniii Niki wa Pili ambae anatoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema kuwa...
IBARA YA 58.
Wazee ni hazina ya taifa letu.
Katiba Inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii.
Ndani ya Katiba Inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika...
Hivi karibuni liliotolewa tamko la jukwaa la kikristo, na kusainiwa na viongozi wahusika, wakiwakilisha TEC, ELCT, PCT.
Baada ya hilo tamko tunasikia maaskofu wengine moja moja wakitoa matamko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.