Leoa asubuhi kama kawaida yangu nilikwenda kanisani kwetu hapa Gongolamboto, ulongongoni palokia mpya ya PIO, baada ya kumaliza misa alipanda baba paroko na kuanza kutoa matangazo na tangazo la...
Ninamwomba sana Mwenyezi Mungu asikie kilio cha watu wengi wanaojali maslahi pana ya wananchi wengi kuhusu kusimamisha mchakato wa kuelekea kwenye upigaji kura za Ndiyo au Hapana kwa katiba...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amesema amefurahishwa na uamuzi wa Tamko la Maaskofu wa Makanisa yote nchini ya kuikataa Katiba Pendekezwa.
Jaji Warioba...
IBARA YA 54 YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA:
Ibara hii ni mpya na ni mara ya kwanza kuwekwa
kikatiba.
Katiba Inayopendekezwa inatambua haki
za vijana na wajibu walionao kwa jamii.
Katiba...
Katiba imetulia na imesheheni mambo mengi yenye maana kwa kila Mtanzania. Isome, ielewe na fanya maamuzi sahihi kumbuka ni haki yako hiyo ewe Mtanzania.
aina hii ya mentality ndivyo tunayoitegemea kutoka kwa wengi waliojaaliwa kuingia darasani (bila kujali imani zao).
kipekee, I like his way of thinking kuhusu mahakama ya kadhi. prof Lipumba...
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa...
Katiba Inayopendekezwa ni yenu;Serikali ni yenu;Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni yenu;Wapigakura mnao kwa mamilioni;UKAWA hawatashiriki,kampeni ya kazi gani?
Au hamjiamini katika kufikia akidi...
IBARA YA 23-27 Katiba Inayopendekezwa inataja wazi kuwa ardhi ndiyo rasilimali kuu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na ustawi wa nchi pamoja na watu wake.
Serikali zetu hizi mbili (SMT...
TUONGEE UKWELI WAJAMENI KATIBA HII INAYOPENDEKEZWA IMETULIA, NYIE MNAOINANGA HAMJAISOMA NA KUIELEWA, BASI ISOME ILI MUJUE MAMBO MUHIMU YALIYOZINGATIWA NDANI YA KATIBA HIYO AMBAYO HATA WEWE...
Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 40 inatoa haki na uhuru wa mtu na vyombo vya habari kutafuta, kupata, kutumia na kusambaza habari na taarifa sahihi.
Ibara hii inaondoa malalamiko ya muda...
Ccm inalazimisha kupigwa kwa Kura ya maoni kupitisha au kuikataa katiba inayopendekezwa,katiba iliyoandikwa chini ya usimamizi wa mtu ambaye serikali ya ccm inamburuza kwenye tume ya maadili kwa...
Hoja
Kupuuzwa kwa maoni ya wananchi kama yalivyoainishwa katika Rasimu ya Pili ya Katiba. Rasimu hii ya Pili iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilizunguka nchi nzima ikakusanya maoni ya...
Tanzania tunakosa watu creative kabisa au CCM inabidi wawafute kazi vijana wa propaganda pale lumumba.katika hatua za awali nimepata kipeperushi,kofia na tishrt za kampeini ya 'ndiyo' kwa katiba...
Mara kadhaa tumesikia kilio cha wananchi wa ngazi zote wakitaka nchi yetu iwe imara na madhubuti katika kuweka na kuzingatia utawala bora.
Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 6 inaiweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.