Tulitegemea kwamba UKAWA wangezuia Sheria ya Kura za Maoni, 2013 kutokupitishwa na Baraza la Wawakilishi kwa kuwa kuna wana-UKAWA wengi (CUF + CCM) lakini nambo yameenda kinyume na Sheria hiyo...
kusoma sehemu ya maudhui yaliyoandaliwa kwa lugha nyepesi kwa sura ya tano.....hii ni kwa wale wagumu kuelewa roporopo aka bendera fuata upepo na nitaendelea kuweka thread za haki zote hapahapa
Hi wana jf!nimeanza kuisoma katiba mpya inayotarajiwa kupigiwa kura hapo bdy lakini kuna mapungufu mengi tu nimeyaona japo nipo sura ya nne sasa lakini yafuatayo nimeyaona ni mapungufu makubwa...
Mratibu wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (Ulingo), Dk Ave Maria Semakafu amesema harakati za wanawake nchini za kutaka haki zao zitambuliwe kwenye Katiba zitafanikiwa iwapo Katiba...
IBARA YA 23-27 Katiba Inayopendekezwa inataja wazi kuwa ardhi ndiyo rasilimali kuu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na ustawi wa nchi pamoja na watu wake.
Serikali zetu hizi mbili...
Hebu jaribuni kuwa na fikra za utandawazi na uhuru wa kujieleza, Kama Rais wa Nchi ndugu Jakaya kikwete kila aendapo anawahamasisha Watanzania kuipiga kura ya ndio kwa Katiba pendekezwa muda...
UTANGULIZI
KWA KUWA, sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru...
Ni haki yangu kutoipigia kura maana itaharibu nchi yangu.
Mzalendo yeyote hataipitisha katiba pendekezwa. Maana imejaa wizi, usanii na maoni ya kupika.
Tusiipigie kura kabisa. Tukajifanyie...
Inaheshimu Uhuru wa imani ya dini, Soma mwenyewe Ibara hii ya 41.
41.-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi
katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha...
Leo katika Uwanja wa Aman Zanzibar,makamu wa kwanza wa Rais Balozi Seif Idd amezindua kampeni rasmi ya wanamuziki wa kizazi kipya watakaozunguka Tanzania nzima kuhabarisha na kuhamasisha upigaji...
MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI KUHUSU MCHAKATO HUU WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
https://www.youtube.com/watch?v=xjrK8Ed8CuA&fb_action_ ids=1586830831560755&fb_action...
Maaskofu Jukwaa la Wakristo: Kataeni Katiba. Dar es Salaam. (Source: Gazeti la Mwananchi) 👉Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la...
JUMUI YA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM) Zanzibar, imesema Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar,Maalim Seif Sharrif Hamad hana ubavu wala jeuri ya kuuyumbisha Muungano wa...
Kwa kipindi kirefu watu wenye ulemavu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali.
Pamoja na kuweka mazingira mazuri ya kuwawezesha kupata haki ya mawasiliano IBARA YA 4(4), Katiba...
WASANII WAMEKUMBUKWA KWA MARA YA KWANZA:
Kama zilivyo haki nyingine nyingi, ni mara ya kwanza Katiba inazianzisha haki za wasanii.
Katiba Inayopendekezwa inaonyesha hivyo katika IBARA YA 59...
Kwa mara ya kwanza katika taifa letu, Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 46 imeyatambua makundi madogo madogo ya wakulima na wafugaji, wavuvi na wachimba madini ambayo mara kwa mara yamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.