Tunu ni kitu adhimu, ni kitu cha pekee, ni hidaya, ni zawadi.
Katiba Inayopendekezwa katika Ibara ya 5 imeainisha tunu za Taifa, hivyo tunu hiyo ni kitu ambacho kwa muktadha wa Ibara hii ni...
Ndugu viongozi wa Dini na wale wa Kiroho wajibu wenu wa msingi ni kutengeneza jamii yenye maadili mema. Hivyo kazi kubwa inayowakabili ni kukemea dhambi na kufundisha maadili mema. Mnapowakataa...
Wana JF,hebu tuzungumze kuhusu habar hii ya katiba,maoni yaliyotolewa na Viongozi wa umoja wa kikristo Tanzania,tupigie kura ya Hapana katiba,mimi naunga mkono Je wewe?
Hivi ni sahihi kusema 'wametakiwa'?! Au 'wameombwa'?! Halafu Sophia Simba na Celina Kombani ni akina nani 'kuwataka' badala ya 'kuwaomba' wanawake kupiga kura ya NDIO kupitishwa rasimu ya...
Rasimu ya warioba ingejibu kero nyingi
Ni muda mfupi,watanzania huenda wamemsahau Warioba na tume yake.
Lakini ili ujue ubora wa timu hii, jaribu kupitia Randama ya katiba na katiba...
IBARA YA 72. INASEMA KWAMBA Bila kuathiri masharti yaliyomo kwenye Sura hii, mtu yeyote mwenye asili au nasaba ya Tanzania na ambaye ameacha kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano kwa kupata uraia wa...
Jamii yetu ina utajiri wa kuwa na makundi
mbalimbali yenye mahitaji yanayotofautiana.
Katiba Inayopendekezwa imetambua haki
za makundi haya ya kumiliki, kutumia,
kuendeleza na kuhifadhi ardhi...
Maaskofu Jukwaa la Wakristo: Kataeni Katiba. Dar es Salaam. (Source: Gazeti la Mwananchi) 👉Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la...
Tumeshuhudia vyama vya siasa vikiwa na mamlaka ya kutengua ubunge wa mbunge wa chama chao muda wowote na wakati wowote wanapojisikia.
Hii ni kutokana na baadhi ya vyama kutumia...
HOJA ZA KUIKATAA KATIBA PENDEKEZWA HAZINA MASHIKO, MASLAHI YA WANANCHI YAMEZINGATIWA KWA KINA, SI KWELI KWAMBA INAWALINDA VIONGOZI PAMOJA NA CCM
MAKALA NO. 3
Kwa muda mrefu...
Kutokana na historia inaonekana kwamba kabila la wazanaki lina zingatia na kuenzi MAADILI NA TUNU za utu, upendo, Uwajibikaji, uzalendo, Amani na Utulivu ambayo wamekuwa wakiirithisha kizazi hadi...
KATIKA IBARA YA 90.-(1) Kwa kuzingatia masharti ya ibara ndogo ya (2), endapo mtu yeyote aliyeshiriki kama mgombea katika nafasi ya madaraka ya Rais katika uchaguzi wa Rais hakuridhika na matokeo...
IBARA YA 220.-(1) Tume Huru ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa:
(a) kusimamia na kuendesha shughuli zote za uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano;
(b) kusimamia na...
48.-(1) Mtu aliyekamatwa au aliyewekwa kizuizini ana haki ya:
(a) kuelezwa kwa lugha anayoifahamu:
(i) sababu ya kukamatwa kwake;
(ii) haki ya kutokutoa maelezo yoyote; na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.