UCHAMBUZI KUHUSU MUUNDO WA MUUNGANO KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA (RASIMU YA TUME YA WARIOBA IMEBORESHWA NA HAIKUCHAKACHULIWA)
MAKALA NO. 5
Muundo wa muungano unaopendekezwa umeainishwa...
Salam wana jukwaa,
Ni katika tafakari yangu binafsi, nini mantiki ya kupga kura kwa katiba pendekezwa? mtazamo wangu ni kwamba nikipiga kura ya NDIO nimekubali kuishi kwnye msitu mpya na nyani...
TBC1 ni kwanini mnaandaa vipindi ambavyo vinaipendelea CCM tu yaani kualika watu wenye mtazamo mmoja tu yaani kura ya ndio kwa katiba pendekezwa hii si haki kama mkiendelea kurusha vingelee ndani...
Imesemwa sana na wengi kuwa ccm hawana nia ya kutupatia wananchi katiba bora lakini nilikuwa sielewi vizuri.lakini nimeshuhudia nakuelewa wakati zilipoanza kusambazwa nakala za katiba...
Nimesoma kwa undani mahojiano ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na gazeti la Nipashe na kubaini kuwa kwa ustawi mzuri na amani ndani ya nchi yetu ni busara tusahau kwa muda...
Wanajavi.. Ninatafuta sana version ya Kiingereza ya Katiba ya JMT inayopendekezwa (Katiba ya Chenge).. Yoyote mwenye kuweza kunisaidia nitashukuru kwa msaada wake!!
NB: Ni vizuri tuzipime zote...
Wasalam
Jamani nimesoma katiba hii kuna baadhi ya vitu imeeleza vizuri tu ila kitu kimeniudhi zaidi ni ukurasa wa 59 sura ya saba ambayo inahusu muungano, nanukuu "serikali ya jamuhuri ya muungano...
Wakuu tume ya katiba imeleta katiba 10,000 kwa wilaya nzima ya kinondoni,yenye kata zote 34,na kila kata wamepatiwa katiba 300.
NAJIULIZA NANI ANATAKIWA KUHAIRISHA ZOEZI LA KURA YA MAONI?
mbona...
Hapo kabla ya wana wa UKAWA kutangaza kujitoa kura ya maoni ya katiba CCM ilionekana kuhaha kuipigia kampeni katiba mpya . Sasa hivi naona kimyaa kikuu na hakuna anayeshadadia habari ya katiba...
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
-...
tumeshuhudia kama cio kusikia mauwaji ya watu wenye ulemavu wa ngoz alibino? Lakn sijasikia rais wala wazili mkuu akitoa tamko lasm juu ya kutokomeza mauaji hayo? Utasikia tu? Selekari kwa...
Kama tumekubaliana akuna kupigakura basi simbaya mkaenda mahakamani kusimamisha haya matangazo machafu ya katibayao maana si katiba iliokubaliwa na kujumuisha wananchi,badala ya kusubiri tu...
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umemtaka Rais Jakaya Kikwete, ahakikishe anamaliza muda wake wa uongozi salama pasipo kuiacha nchi kwenye machafuko kwa kushinikiza upatikanaji wa Katiba Mpya...
Mvua za masika zimeanza kunyesha mikoa ya nyanda za juu kusini na kufikia mwezi wa nne zitasambaa nchi nzima, hivyo kukwamisha kwa kiasi kikubwa mchakato wa kupiga kura ya maoni.
Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.