KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
habari wana jf ... leo ofisini kwetu tumeletewa katiba pendelezwa nimejaribu kuisoma naona kama ni ile ya awali so kwa mlioichambua nisaidieni vifungu vyenye utata ili nivisome na kutoa elimu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa WanaJF, Natoa wazo tu jamani. Hivi kwa nini Katiba yetu isibadilishwe ili angalau rais wetu kipenzi cha watanzania agombee tena ifikapo 2015. Ni pendekezo tu jamani.
1 Reactions
91 Replies
8K Views
Wanasema sheria za kiislamu zitawabana kwenye masuala ya urithi ambapo wanadai watapata kiduchu kulinganisha na sheria za kiraia, wadai kasi ya talaka itakuwa kubwa kuliko sasa kwa kuwa ni wanaume...
1 Reactions
182 Replies
18K Views
Claudz media group wamepokea mgawo wa bilion 2.5 kutoka ikulu ya rais wa TZ ili kutoa elimu kwa umma kuhusu katiba pendekezwa pia kuushawishi umma waikubali katiba hii ya nyoka mwenye makengeza...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa chama cha APPT-Maendeleo, Mhe Peter Mziray. Chama cha APPT Maendeleo, kimepinga hatua inayochukuliwa na baadhi ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sasa ni bayana, Utetezi wa katiba pendekezwa na kuilandia Rasimu ya Warioba waziwazi ilikuwa ni kujiandalia mazingira ya kutosumbuliwa baadae Mkuu aliona mbele giza hivyo ukifyeka vichaka utakosa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Chama cha APPT Maendeleo, kimepinga hatua inayochukuliwa na baadhi ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuwashawishi wananchi wasishiriki kupiga kura ya maoni kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeiiona katiba pendekezwa,wakuu nanyie mmeiona? kurasa za 134 hadi 164 ziko juu- chini, sijaeleawa ndo maelekezo ya Joka fisadi au? Afu suala la msajili wa vyama kwamba awe ajawahi shika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BY HUMPHREY POLEPOLE MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA. UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO. Katiba Inayopendekezwa ina mapungufu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Msama promotion ameungana na chama tawala CCM kuunga mkono rasimu ya Chenge.Akiwa anaongea na Clouds TV leo hii, amehamasisha watu wajitokeze kwa wingi itakapofika siku ya upigaji kura rasimu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO: 75: Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano 76: Mamlaka ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mambo yasiyo ya muungano Swali; Kwa nini namba 77 isingekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katiba inayopendekezwa tayari iko mtaani kwa wananchi ili tuisome hatimaye tuje tuipigie kura. binafsi sijailewa kabisa vitu vingi havijawekwa wazi..lakini iliyokuwa rasmu ya jaji warioba ile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamjambo Tafadhali unaweza kushiriki orodha ya wanachama wa Bunge la Katiba kina jinsi kila mmoja wao walipiga kura katika Oktoba? Mimi nataka kujua, jinsi wajumbe wengi kutoka mashirika ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A Chinese military general, strategist and philosopher, Sun Tzu once said, If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not...
0 Reactions
94 Replies
7K Views
KAMA, Tanzania Na Uzuri Wake Tuna Wasomi, Vibaka, Wezi Na Mafisadi, Tumeshindwa Kuwa Na Katiba Inayokubariwa Na Kila Mwananchi, Kweli Pamoja Na Watu Wetu Tumeshindwa Kuwatuma Kwenye Nchi...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
viongozi wasio na stara bungeni,mitaani na hata ktk mitandao wanataka kutuletea katiba ya namna gani?, bila shaka yenye maslahi ya wachache tu hasa wenye nyadhfa, rais hatashitakiwa kwa makosa ya...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Akiongea na kituo cha Radio Free Africa asubuhi hii, kipindi cha Matukio anawasisitiza watu kujitokeza kuipigia kura ya maoni Katiba Mpya na kudai watu waisome kwani kila siku inachapishwa kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tone la sumu mbaya iliyowekwa na mafisadi kwenye Katiba pendekezwa iko ukurasa wa 7; SEHEMU YA NNE, Sura ya 21 (2). Kama kutakuwa hakuna kuhoji kwa namna yoyote ile na mahala popote pale, ikiwemo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wandugu, Huwa najiulizaga swali la kizushi ! Tanzania imekuwa mstari wa mbele sana katika kupatikana (kujitenga Sudani ya Kusini) mbona wao inakuwa wagumu inapofikia suala la Zanzibar ? Yaani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hili tangazo sijalielewa wadau
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom