KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
tulitangaziwa kuwa baada ya kutoka mwanza ungekuja mbeya, Tulio wengi tulikusubiri kwa hamu nahata wale wafanya biashara zao nchi jirani waliahirisha safari kukusubiri wewe. sasa tuhakikishie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Timu nzima ya tume ya katiba ikiongozwa na Jaji Warioba,Humphrey Polepole,Mzee Butiku ,prof Baregu na ALly SAleh kutoka Zanzibar,siku ya jana walitoa elimu kwa wananchi mkoa wa mara katika ukumbi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba, imeutikisa mkoa wa Mara kwenye mdahalo uluofanyika ukumbi wa chuo kikuu Huria tawi la Musoma (Mcc) Ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa mji huo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu wazalendo itakuwaje Mzee Warioba na Tume yake ya mabadiliko ya Katiba yenye vijana machachari kama Polepole wakapita kwa wananchi kuwahamasisha na kukampeni wananchi wapige...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yule jamaa niliyekuta jina lake linavuma sana jimbo la sumve mwaka jana wakat wakununua pamba, nimemsaka mtandaoni na kuona ataongoza mjadala wa katiba ya Tanzania chuo kikuu cha London tarehe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika mfululizo wa midahalo ya kutoa elimu kwa umma juu ya Katiba Mpya Makamishna wa iliyokuwa Tume ya Katiba wanataraji kufanya mdahalo mkubwa mjini Musoma Mkoani Mara katika ukumbi wa MCC...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania tunajiandaa kuikataa katiba pendekezwa kwa sababu kuu zifuatazo 1. BMK walikataa maoni yetu wananchi na kutupilia mbali mapendekezo ya wengi ya kutaka muundo wa serikali 3. Muungano...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari ya mda huu wanajf!! Naomba Moderators kwa heshima yenu msitoe post hii. Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kama muonavyo tumeona wimbi kubwa japo si sana la wasomi wanaojielewa na wenye...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Moshi. Wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro wamechanga Sh200,000 za nauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ili aweze kufika jimboni humo kutoa somo la...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
...tunaonekana goi goi sana ktk ardhi hii,wapi katiba pendekezwa tuisome na kuielewa,nashangaa watu wakubwa wanasema muisome na kuilewa sasa tusome hewa?.kwanza muda hakuna.......fanyeni namna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uhitaji kuisoma katiba pendekezwa ili kufanya maamuzi. Vigezo ni hivi hapa: 1. Imesimamiwa na Chenge 2. Wakati Bunge la katiba linaendelea kumbe baadhi ya wajumbe walikuwa wanagawana pesa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA MAHOJIANO NA ASKOFU GLORIOUS SHOO, ALICHOKISEMA KUHUSU KATIBA MPYA 1. Amani hudumishwa kama kuna HAKI NA MATUMAINI - Matumaini yalikua Ni kupata katiba Mpya lakini yameondoka kwa kutokuwa...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Leo katika taarifa ya habari ya saa mbili itv nimemsikia mh pinda akisema kuwa anaona ni vyema suala la muungano likaachwa kwanza halafu utafutwe muda mwingine wa kushughulikiwa suala hili tu na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti. Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti...
3 Reactions
234 Replies
31K Views
Kama kuna jambo Chama cha CCM kinaomba basi ni kutaka hii katiba ikataliwe ,ila hawawezi kutamka waziwazi kwani itazidi kuwaporomosha kutokana na mamilioni waliyotumia ikiwemo rushwa ya laki tatu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu waziri mkuu mizengo peter panda leo amesema swala la muungano ni vema likawekewa utaratibu wake wananchi waamue wanataka muungano au hawataki kama wanataka uwe wa aina gani moja,mbili,tatu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
sijajua ni mpingo gani hawa ccm ambayo huwanga wanaitumia, baada ya wanainchi kuhamishia mawazo na akili zao kwenye kitu muhimu ya katiba inayotaka kuunza watanzania na nchi yetu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
muda unayoyoma rasim ya katiba pendekezwa bado haijawafikia wananch. wito wangu kura ya hapana ndio namna pekee ya kuliokoa taifa. ccm wamepanga kutuharibia nchi yetu
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wahenga walisema harakaharaka haina baraka atimaye imebaki miezi miwili tu tupige kura ya maoni kuhusu katiba pendekezwa,mm ni mwenyeji wa dar lkn mpaka sasa hivi sijapata hiyo rasimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wananchi wajiandaee Kwa kuipigia kura katiba mpya
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom