Shirikisho la mpira wa miguu duniani linategemea kutoa pesa cha kiassi dola za kimarekani millioni 100. sawa na shilling bilioni 300.13 za kitanzania . Ambazo Dhumuni kuu la fedha hizo ni...
Hawa jamaa naona kama wame-surrender vile kuendelea na mpango wao wa kutaka katiba inayopendekezwa ipigiwe kura.
Hata kama kunakinachofanyika, basi ni kutimiza wajibu tu lakini hii kitu huenda...
MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO.
Katiba Inayopendekezwa ina mapungufu makubwa na imeyatupilia mbali...
Rasimu ya Warioba na Tume ya Mabadiliko ya Katiba = "A" au Rasimu ya Sitta,Chenge na Baraza Maalumu la Katiba = "B"
Piga kura yako kwa kuandika neno "A''au "B" au unaweza kuandika "Warioba au...
Ni kitu akiwezekani mimi kuwa Rais Kikwete lakini naweza kumshauri, mimi ningekuwa rais kikwete ningekataa rasmu ya Chenge na Sitta na ningeikubali rasimu ya Warioba na kwa kafanya hivyo angebaki...
Mimi siipingi katiba hii,wala siikubali lakini tukubali kutokukubaliana kua uhuru wa habari hautakuwepo kabisa endapo kipengele hicho kikapita.Huwezi kumwambia mtu kua Uhuru wake wa habari uko...
Mchakato wa Katiba Mpya
Ndugu Wananchi;
Mwaka huu pia tumeshuhudia kukamilika kwa zoezi muhimu la kuandika Katiba Inayopendekezwa. Kama tujuavyo sote, mchakato uliozaa Katiba Inayopendekezwa...
Wanajamvi uchunguzi usio rasimi nilioufanya katika mikoa mbalimbali na kwa watu wa rika tofauti tofauti inaonesha kuwa, katiba pendekezwa inaungwa mkono na kiasi kidogo cha watanzania hasa hasa...
Leo Ijumaa tarehe 2 Januari saa 3-5 Usiku nitakuwa katika Kipindi cha KipimaJoto ITV, huko tutajadili kwa kina hatima ya Mchakato wa Katiba. USIKOSE.
Hii itakuwa ya kufungulia Mwaka 2015...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la chama cha CUF, Ismail Jussa Ladhu akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki alipokuwa akimnadi mgombea wa chama...
Nadhani baada ya Katiba pendekezwa kupitishwa katika Bunge la Katiba umefika wakati sasa kwa UKAWA kutumia busara na hekima za kutosha ili kuipata Katiba ya Wananchi kama ilivyopendekezwa na Jaji...
Wazee wa mkoa wa mara kwa muda mrefu wamekuwa wakiiomba tume ya jaji warioba kwenda kutoa ufafanuzi wa katiba,tume imesikia maombi yao na kwa pamoja wajumbe wa Tume wakiongozwa na Jaji Warioba...
1.Imeikumbatia dola ya zanzibar na kuitupa dola ya Tanganyika
2.Misingi ya rasmu ya katiba toka kwa wananchi imeondolewa.mfano serikali tatu,tunu za taifa,mamlaka ya wananchi kumwajibisha...
Wakuu,
Hakuna ubishi kwamba wanachama wa vyama mbalimbali vya Siasa wanapoenda kinyume na sera za vyama vyao hunyang'anywa kadi za uanachama na hatimaye hujiunga na vyama vingine.
Hata hivyo...
Kimbunga cha mabadiliko kinapita nchini Tanzania. Wananchi wa Tanzania wamefahamu wazi kuwa hivi sasa nchi yetu inahitaji mabadiliko. Hitaji hilo limejionyesha katika uchaguzi wa serikali za...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo kuhusu kuzingatia mambo muhimu katika Katiba Inayopendekezwa. Huu ni mfululizo wa midahalo na majadiliano kuhusu Katiba Inayopendekezwa. Mdahalo huu...
Viongozi wetu wamesoma shule za umma. Shule zilikuwa nzuri na watu walihitimu na kuweza kuajiriwa hata nje. Leo Elimu imekufa, viongozi wanapeleka Watoto wao nje badala ya kubiresha Elimu yetu...
1.0 UTANGULIZI
Tulipopata uhuru 1961, hapakuwa na sera rasmi ilkiyokuwa inaelekeza nini kifanyike kwa ajili ya maendeleo ya vijana nchini. Takribani miongo mitatu ndipo Sera ya...
Yalosemwa hayatakuwa sasa yamekuwa Je, kuna mpya gani?...
Mimi nina swali moja tu kwa viongozi wa UKAWA ambao walidhani wao wanatufanyia fadhila kubwa wananchi kugomea BMK. Inakuwaje leo hii...
Ni miezi kadhaa nimekuwa nikijaribu kuifungua website ya NEC, lakini inaonekana haipo active! Mahali ambapo mamilioni ya wananchi wanategemea kupata taarifa muhimu na wameruhusu serikali ielekeze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.