Wanabodi
Nisiwachoshe na maneno lukuki.
Ni hivi, mboni ya viongozi wa UKAWA waliona kitambo namna mchakato wa Katiba mpya unavyopotoshwa na kundi la Wana CCM wenye malengo binafsi. Viongozi wa...
Haya masuala ya tezi dume, PAC na Escrow,Utafiti wa Twaweza na kadhalika yasitusahaulishe. Mbele yetu kuna suala la Katiba mpya,yaani kura ya maoni. Kura ya Maoni itatanguliwa na kampeni juu ya...
Ndani ya chama tawala kuna vichwa vilivyobobea katika kucheza na akili za watanzania (sizungumzii buku 7). Yaani wangebadilika kidogo halafu nguvu ya hizi akili wakaiwekeza kwenye maendeleo ya...
Naomba kuelimishwa ndugu zangu wana Jamiiforums
Ninasikia sana ikisemwa kuwa Mwalimu Nyerere alisema hivi au vile kwa hiyo katiba inatakiwa iwe hivi, sasa ninachojiuliza ni kuwa; huu mchakato ni...
Kulikuwa na ulazima gani wa kuunda tume kama tayari mlikuwa na majibu?
Mliounda tume kwa minajili ya kutafuta jukwaa la kutukana wazee?
Hivi ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya makamu Rais...
Kama Katiba Pendekezwa itapita kwa kupata kura nyingi za Ndiyo iwe kwa uhalali au kwa kuchakachua kama Mazingaombwe yaliyotokea kwenye Bunge Maalumu.
Katiba hiyo haitadumu kwa muda mrefu,kwani...
Kwa muda mrefu sana kutokana na mimi kuwa mwana-CHADEMA nilikuwa nimefungwa kifikira kutokana na ushabiki wa kichama,. nikaona nifikirie mara mbili mbili kuhusu hizi katiba mbili. Namshukuru sana...
Wanasiasa hawa jamani wanatupeleka pabaya, hivi inawezekana kweli mtu wa kawaida kuisoma katiba inayo pendekezwa ("katiba") na kuelewa? Waingereza wanasema "Next to impossible" yaani kwa tafsiri...
Viongozi wanahasa serekali kudurufu nakala nyingi za rasimu ya katiba iliopitishwa na bunge ili wananchi waweze kuisoma na kuielewa kama ambayo Sitta na Dr. Bana waliokaririwa kwenye kipindi cha...
Umesema kazi ya Mbunge ni kuwakilisha wananchi Bungeni na wananchi kama wana shida wamtafute Mbunge na sio vice versa.
Umesema Mbunge asiwe na kikomo kwa kuwa watu ndio wakimchoka hawatamchagua...
Leo hii CHADEMA kupitia kiongozi wao wa BAVICHA wametoa tamko la kulaani vurugu zilizotokea kwenye mdahalo wa Mh Warioba.
Najiuliza je wana uhusiano gani? Mbona Shibuda anapoegemea upande wa CCM...
Namfuata Dr Bana. Nimesikia akiongea kupitia Mlimani TV.
Nataka akanijibu hoja hizi alizoongea:
1. Amesema badala ya UKAWA kuunganisha nguvu ya kwenda Ikulu, ni vyema wakaunganisha nguvu kujenga...
Kuwasilisha malalamiko Nec uhalali bil 2.5/- za propaganda
Baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kudai kunasa waraka wa mkakati wa serikali wa kutumia Sh. bilioni 2.5 kuendesha propaganda...
Kufuatana na makubaliano yaliyofikiwa kati ya Rais na TCD/UKAWA, kikao cha Bunge kinachoendelea sasa kinatakiwa kifanye marekebisho kwenye katiba ya sasa ya 1977 ili ku 'accomodate' yale yote...
Kwa vile:
1. Baba wa Taifa, Mwl JK Nyerere, baada ya kustaafu alishuhudia Azimio lake kipenzi la Arusha lililoweka maadili ya uongozi, likitupiliwa mbali huko Zanzibar na wakina Mzee Ruksa. Na...
Kipindi cha dakika 45 - ITV kimekuwa ni kipindi muhimu sana kwa sasa kwa viongozi wa serikali kufafanua mambo na kupiga propaganda za kisiasa.. Wapo viongozi ambao wamejitokeza mara nyingi katika...
Wakuu.
Mahakama Kuu katika kesi ya kihistoria ya Saed Kubenea v. Attorney General, Misc. Civil Cause No. 28 of 2014 ilitamka wazi kwamba Bunge Maalum la Katiba halikufungwa na RASIMU YA WARIOBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.