Taifa Lisilomithilika Duniani,sijui Limetoka Wapi ! Mliona Katiba Imepitwa Na Wakati,mkataka Ingine Mpya,mkatenga Budget,mkatuma Watu Wa kuwauliza Wananchi Namna Ya Katiba Yao...
Viashiria vyote vya kuonyesha kuwa taifa letu limeshaianza safari ya kuelekea kwenye Maangamizi yake yenyewe imeshaanza, kwa hakika watu wema walikwishatuonya kwa namna tunavyoendesha nchi lakini...
Jana sikushudia kilichompata Mzee Warioba, nilikuja kujua kupitia humu JF na kwa kweli sikuchangia maana nilikuwa sijui nichangie nini.
Hata hivyo, baada ya kutafakari sana, nimegundua kuwa...
Ni jambo lililowazi kwamba kizingiti (determining factor) cha upatikanaji wa Katiba mpya ni Zanzibar, yaani CUF.
Huku Tanzania bara, yaani CHADEMA, hakuna kizingiti cho chote. Hili ni muhimu...
Nimetoa hii kutoka kwenye facebook page ya Humphrey Polepole :
"....Ijumaa nitakuwa LIVE kupitia kipindi cha Kipima Joto ITV, tafadhali mjulishe na mwingine, itakuwa ni siku ya kuthibitisha...
Kwa upeo nilionao mimi nilitegemea "jeshi" linalotetea katiba pendekezwa (i.e inayoenda kinyume na maoni ya wananchi), lingeelekeza nguvu zake katika kutushawishi watanzania juu ya ubora wa...
Hakika hawa vijana hawa wametumika kuleta fujo kwenye mdahalo. Nilimsikia Judge Warioba akisema kila mtu atoe hoja kwa kutulia. Hawa walishindwa kufanya hivyo? Nina hakika kuna baadhi yetu...
Sitta: Kilichomkuta Jaji Warioba Jana Amejitakia Mwenyewe
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya...
Kupitia Taarifa ya Habari ITV saa 2.00.
Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda amepinga hoja ya Mawaziri kutokuwa Wabunge kama inavyotamkwa katika Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa na Tume ya Jaji...
Duni: Mahujaji hawakuipigia kura katiba inayopendekezwa
Na Nassor Khamis.
Suala la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa kwenye ibada ya Hijja katika miji ya Makka na Madina chini Saudi...
KOSA jingine ambalo linakwenda kufanywa na wapinzani na watu wengine ambao walikubali mchakato wa Katiba mpya kufanyika hadi mwisho ni kuwa wanataka kujiandaa kufanya kampeni ya kura ya "Hapana"...
WATANZANIA...
Tume ya Katiba ya Jaji Warioba itatema nyongo Jumapili tarehe 2/11 kuanzia saa 9-12 jioni.Katika Hotel ya Blue Pearl.Itarushwa live na ITV...
MSIKOSE..
USIKOSE Matangazo ya Moja...
Kwa mujibu wa ITV leo 4/8/2014 Mwalimu Nyerere Foundation wataendesha mdahalo kabambe kuhusu Katiba mpya pale Ubungo Plaza kesho Jumatatu tarehe 4/8/2014 kuanzia saa 9 alasiri wasemaji na...
Baada ya kupoteza mvuto na heshima yake ya 'mikono safi' mbele ya jamii kupitia usimamizi mbovu wa 'kinazi' wa BMK, Mh Sitta anatafuta angalau huruma ya waislamu kwa kukonga nyonyo zao kwa...
VIJANA wamekubaliana kutokupiga kura ya Katiba Inayopendekezwa kwa kutumia baadhi ya vifungu pamoja na kusoma Katiba hiyo bila kukubali kutafsiriwa na wanasiasa.
Wameeleza kuwa vijana watambue...
DUNI: MAHUJAJI HAWAKUPIGA KURA
Na Nassor Khamis.
Suala la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa kwenye ibada ya Hijja katika miji ya Makka na Madina chini Saudi Arabia, kupigia kura...
Nauliza hivi mnaogopa kitu gani watu kusomewa na kueleweshwa katiba ,eti miccm siku hizi imekuja na msemo eti watu au wananchi waachwe wasome wenyewe na waamue.
Waamue kitu gani wakati...
Wajumbe takribani 650 toka nyanja tofauti mbali mbali Zanzibar na Tanganyika walikaa Dodoma kwa siku 120 kwa kusudi la kutunga Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika mazingira ya...
SERIKALI KITETO MKOANI MANYARA IMELAZIMIKA KUWAPOKONYA WAKULIMA NA WAFUGAJI ENEO LILILOKUWA LIMETENGWA KWAAJILI YA HIFADHI YA JAMIIKUTOKANA NA MADAI KUWA WANAUANA KILA MARA WAKIGOMBEA MAENEO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.