KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Sababu za Wananchi kudai katiba; 1.Iliyopo ina mapungufu makubwa 2.Kero za Muungano 3.Katiba iliyopo imeegemea kwenye chama kimoja. 4.Madaraka ya Rais yapunguzwe. 5.Katiba iliyopo haikushirikisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais acha watu waichambue katiba pendekezwa,hivi karibuni wakati Rais wa nchi akiongea na wazee amenukuliwa akisema kuwa muda wa kuichambua katiba pendekezwa bado. Sasa sijui kuna hofu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katiba Pendekezwa inamruhusu Rais ateue miongoni wa wabunge awe waziri au waziri mkuu, pia anateua Mbunge yeyote kuwa waziri bila kudhibitishwa na Wabunge. Pia katiba inasema Rais ni sehemu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama" Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya...
7 Reactions
154 Replies
17K Views
Nilikuwa namsikiliza Riziwani mtoto wa Jk akiongea Times Fm leo hii… dah! Hata kama ni mtoto wa Mkuu wa Kaya ila ana dharau, Namnukuu "Kuna watu ambao wameshamaliza muda wao wa kuishi,muda...
9 Reactions
226 Replies
28K Views
Pamoja na Tume ya Warioba na Hatimae Bunge Maalum la Katiba kutupilia mbali Maoni yote ya Waislamu kuhusu Mahakama ya Kadhi, pamoja na Ukweli kwamba nchi za Kenya na Uganda ambazo zina Waislamu...
6 Reactions
197 Replies
18K Views
1: kama kuna watu (ccm) ambao wanadai maoni ya watu 17000 juu ya kuwa na serikali 3 ni idadi ndogo sana ambayoyo haiakisi matakwa ya watanzania 46ml, je hawa wabunge 600 wanapata wapi nguvu ya...
17 Reactions
76 Replies
10K Views
Wakati Rais Jakaya Kikwete akipiga marufuku vyama vya siasa na asasi za kiraia kufanya mapema kampeni za kuhamasisha wananchi kuhusu Katiba Inayopendekezwa, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Marais hawa wastaafu hawajaonekana katika tukio hili la kiistoria pamoja na waziri mkuu mstaafu Sumaye pia hajaonekana Dodoma.. Hii ni kusema hawajaridhika na mchakato ulivyopelekwa au wapo nje...
1 Reactions
107 Replies
17K Views
Wakuu. Jaji Warioba amesisitiza mara kwa mara kwamba "Wananchi Walio Wengi" walitaka Muundo wa Muungano uwe wa Serikali 3 na sio wa Serikali 2! Mara baada ya kupitishwa Katiba inayopendekezwa...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Wandugu. Ni tetesi kuwa Dr JK alitumia madaraka alopewa ya kuchagua wajumbe wa 210 kwa kuchagua makada wa CCM kwa asilimia zaid ya 90 kwa lengo la kufanikisha ajenda ya CCM Wajumbe hao,ambao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii Naomba muisambaze (share) kwa wingi kadri mtakavyoweza ili watanzania wote tuifahamu Katiba Inayopendekezwa na namna ambavyo imeshughulikia Maoni ya wananchi. Ijumaa tarehe 7 Novemba, katika...
17 Reactions
18 Replies
2K Views
Kufuatia kupigwa kwa waziri mkuu mstaafu Jaji joseph Sinde Warioba, sasa Asais mbalimbali zimeanza kujitokeza kutoka kila kona na kuanza kulaani kitendo hicho kwa kusema kwamba ni kitendo ambacho...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu ni vyema tukaweka kumbukumbu sawa ili vizazi vyetu vije kutuhukumu kwa upuuzi huu ambao unasababishwa na unafiki wa hali ya juu.Yapo malalamiko kwamba Kikwete alitumida madaraka vibaya kwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kilichotokea leo kwenye mdahalo ulioandaliwa na Tasisi ya Mwalimu Nyerere na kuonyeshwa live na ITV/Radio1 ni ishara tosha ya mwenyenzi Mungu kuwaonyesha watawala nini kiko mbele ya mchakato huo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na bunge kutokuonywesha ama kutangazwa kwenye vyombo vya habari, wananchi tumekua tukipata habari kidogo na za kudokoa dokoa. Kwa kupitia social media nyingine kuna wajumbe wamekuwa...
5 Reactions
113 Replies
15K Views
  • Closed
Wana jf! Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa jijini dar. Nimepata ujumbe mfupi sms kutoka kwa kiongozi na mfuasi wa ccm. Ujumbe huu nitauweka uchunguzi wAngu ukikamili . KwA sasa sipo chuo...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Viongozi wa dini na walokole wenzangu Bwana Yesu Asifiwe! Naomba kabla hatujaombea Katiba iliyopendekezwa ipite kujaribu kwanza kuangalia vipengele vilivyoko humo kama vina reflect kumtumikia...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Bado tunaendelea kuelimisha wananchi mpaka waelewe nini kipo kwenye katiba.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jamiiforums. Leo ni siku ya tatu ambapo wabunge wanapiga kura kupitisha Katiba inayopendekezwa. Kwa siku ya Juzi, Wabunge walipiga kura kupitisha Sura ya Kwanza hadi ya kumi na...
0 Reactions
205 Replies
24K Views
Back
Top Bottom