Jamani nasikia zile pesa km posho kwa wabunge waliotoka nje km UKAWA zimepigwa ile mbya na wadau kijinenepesha nazo.
Mwenye kulifahamu hilo tunaombwa atujuze.
JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA
TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA
Sisi, wajumbe wa Jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 27 hadi 28 Agosti, 2014, Dar es salaam...
JE KATIBA ILIYOPENDEKEZWA ILIPITA KIHALALI?
WIKI tatu baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kumaliza kazi yake, yameibuka mambo mengi ambayo kwa kiwango kikubwa yameiabisha Tanzania. Bunge...
Wakuu
Tumesikia mara kwa mara kutoka kwa ndugu zetu wa UKAWA kwamba Rasimu ya Sitta/Chenge haikuwa na uhalali kwa kuwa haikuzingatia maoni ya wananchi.
Kiuhalisia baadhi ya maoni yaliyokuwemo...
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa eneo pekee ambalo wana UKAWA wako wengi ni kwenye Jamiiforums.
Lakini mitaani hamna wana UKAWA.
Kila sehemu nilizopita kuanzia uswahilini hadi maeneo ya...
Wakuu
Endapo UKAWA watapiga kampeni za kutosha hasa upande wa Zanzibar tunaweza tusipate Katiba mpya kwa kuwa 2/3 itakuwa haijapatikana.
End result ni kwamba tutabaki na Katiba ya JMT, 1977 ambayo...
Kupiga kura ya "NDIYO" kwenye katiba ya chenge na/au sitta ni "KOSA LISILOSAMEHEKA KAMWE" Hapa ni kumkubali shetani(sitta na chenge),kumkaribisha kumpa heshima aharibu nyumba yako.
Mungu anaweza...
Taifa langu tanzania linapita kwenye wakati mgumu sana? Hasa kipindi hichi tunachoandika katiba mpya, chama lawala ccm wanafikiri wako.wengi kwa hiyo wanaweza kufanya kila kitu wanavyoweza...
Wakuu.
Warioba wakati anawasilisha Taarifa ya Tume Bungeni ali-base sana kwenye Muundo wa Muungano kuliko vitu vingine! Hata takwimu, hatukusikia kuhusu Haki za Binadamu wangapi walisema nini, ila...
Kumekuwa na maneno toka kwa watu mbalimbali akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif kwamba waliokuwa Hijja hawakupiga kura.
Wanaowatetea kwamba walipiga kura si mmoja wa...
WAKRISTO wa dhehebu la Katoliki nchini wametakiwa kuisoma kwa makini Katiba inayopendekezwa kabla ya kupiga kura ya maoni ili kufanya chaguo sahihi.
Hayo yalisemwa juzi na Paroko wa Parokia ya...
Nataka kufahamu katiba hii pendekezwa imeungwa mkona na makundi gani mengine yanayo wakilisha watanzania au kundi kubwa la watanzania.
Isijekuwa kuna baadhi ya watu wanakimbiza kivuli cha Jini...
Kupiga kura ya "NDIYO" kwenye katiba ya Chenge na/au Sitta ni "KOSA LISILOSAMEHEKA KAMWE"
Hapa ni kumkubali she*****ni (Sitta na Chenge), kumkaribisha kumpa heshima aharibu nyumba yako. Mungu...
imbroglios.
1.a misunderstanding, disagreement, etc., of a complicated or bitter nature, as between persons or nations.
2.an intricate and perplexing state of affairs; acomplicated or difficult...
Wanzanzibar kihistoria ni wapole na ni wakarimu sana, na wana sifa zao za kipee tofauti na Tanganyika,
Kwanza wanapenda ibada, pili wanapenda mpira, tatu wanapenda siasa.
Kwa utafiti mdogo...
Wapendwa nimejaribu kukipitia kijarida hiki kilicho chezewa dansi kwenye ukumbi wa bunge maalumu, nimefiki tamati kwamba kijarida hiki kinacho pendekezwa hakifai, wewe kiite utakavyo, ukipenda...
Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa viongozi wa UKAWA walihongwa na baadhi makundi yanayotaka uraisi bara na zanzibar 2015 ili katiba mpya isipite ibakie ile ya zamani ambayo ndio waiona ina...
Hebu turudi nyuma miaka miwili, pale Tume ya Jaji Warioba ilipoundwa,April 2012...Ikatushangaza sana uchaguzi Rais alioufanya haswa Mwenyekiti wake, Miezi Miwili Baadae Rais akatumia mamlaka yake...
Ndugu wana Jamvi wenzangu. Mimi nimekerwa sana na maoni yote ya KATIBA ambapo yamemalizika bila kuweka kifungu cha kumshitaki raisi akiwa madarakani au kung'olewa kwa kura ya kutokuwa na Imani...
Wakati wabunge wa CCM ni zaidi ya 60% ya wabunge wote wa Tanzania, ni vigumu kupata Katiba halali kwa faida ya watanzania wote. Kwa maana hii ni vigumu kwa sasa hivi kupata katiba halali, kwa vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.