KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ikitarajiwa kuzungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, inakabiliwa na mtihani mgumu juu ya muda wa kufanyika kwa kura ya maoni ya kupitisha au...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Balozi Mstaafu Ali Abeid Karume *Kwa ufupi "Kauli hiyo ameitoa jana katika mahojiano maalumu na gazeti hili, nyumbani kwake Maisara baada ya kutangaza nia yake ya kuwania nafasi hiyo katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wiki iliyopita tulizungumza na aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku ambapo alizungumzia mambo mbalimbali kuhusu Katiba iliyopendekezwa huku akisema anakerwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa kuna watu kwa udhaifu wao baina ya pande hizi mbili, yaani Tume ya Katiba iliyoongozwa na mzee Joseph Sinde Warioba na bunge la katiba lililoongozwa na Mh. Samwel Sitta. Kuna moja ya kundi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni jambo lililo wazi kabisa kwa watanzania wengi ni wavivu sana kusoma, hivyo ni vigumu sana kwa wananchi kusoma na kuitolea maamuzi katiba pendekezwa, hivyo kutawafanya waitolee maamuzi ya kura...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kinakusudi kwenda mahakamani kupinga katiba inayopendekezwa. Hayo yamesemwa na makamu wa mwenyekiti wa chama hicho bara,Prof.Abdallah Safari kwenye...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakati baadhi ya watu wakiendelea kuamini kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samuel Sitta alichakachua kanuni ili apitishe Katiba, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya kupitia Kanuni hizo za...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa BAWACHA Halima Mdee Siku moja baada ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza mpango wa kusaini makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ushauri wangu kwa Jaji Warioba na wanasiasa watuache wananchi tusome na kutoa maamuzi juu ya katiba mpya mbona rasimu ya kwanza na ya pili tulizisoma? Mtuache tuisome na hii kama mnavyosema...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepata message kutoka Gazeti la Mwananchi ambayo inaeleza kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba ndugu Kibamba ametoa taarifa kuwa Jukwaa La Katiba Tanzania limegundua kuwa Ndugu Zakia Meghji...
5 Reactions
138 Replies
17K Views
http://youtu.be/Qe08l12XMtA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.facebook.com/pages/KatibaWananchi-LHRC/1607231366171047?fref=ts na unaweza kuwafuatilia kwa twitter kupitia @LRHCKATIBA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dalili sio nzuri kabisa na huko mbele naona ishara za giza tu. Watawala katika hili la katiba wamekusudia jambo na inaonekana wakati ni sasa. Hakuna muda wa kupoteza na ule muda uliowekwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumeshuhudia ubabe na matumizi mabaya ya madaraka. Tumewaona viongozi wenye dhamana kwa sura yao halisi. Tumeona hadaa na mazingaombwe ya kila aina. Tumejifunza weledi wa hila na kila aina ya...
2 Reactions
1 Replies
911 Views
MIONGONI mwa matukio yatakayojitokeza kufuatia Rais Jakaya Kikwete kupokea “Katiba inayopendekezwa” kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samwel Sitta, ni mashindano ya nani anaweza...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana-jf,ninajiuliza maana ya kauli hizi za viongozi wa ccm ikiongozwa na Rais,pale aliposema"KATIBA HII NI NZURI WANANCHI MUIPIGIE KURA YA NDIO".hii inatoa tafsiri gani? Nijuavyo mimi...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Bunge Maalumu la Katiba kupitisha Katiba inayopendekezwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Katiba hiyo bado ina...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa bunge malumu la katiba akishirikiana na wajumbe malumu la katiba wameweka historia ya kipee duniani, mwenyekiti huyo wa bunge malumu la katiba ambaye kwa sasa ni mstafu alinukuliwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema. KWA UFUPI Hayo yalisemwa jana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema ambaye hata hivyo, alimwambia mwandishi wetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni, Katibu wa Bunge alijitokeza hadharani na kukiri kuwa ni kweli orodha ya wajumbe waliopiga kura kwenye bunge maalum la katiba ilikosewa, na kuahidi kuwa angetoa orodha kamili ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom