KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
NDUGU WADAU NAPENDA KUTOA PENDEKEZO LA MAJIBU MATATU WAKATI WAKUPIGA KURA,NDIO,hapana na sijui.majibu ya yapana na sijui ya kiwa mengi inatakiwa elimu irudiwe kisha tupige kura tena yakirudia tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninasikitika kuwa huyu jaji alipewa nafasi ya kuandaa muswada wa katiba akatumia mwanya huo kujinufaisha na kujipatia umaarufu wa kisiasa... Alitumia nafasi hiyo kama mtaji wa kisiasa kitu...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
... Hizi Kauli Zimekuwa Zikitolewa Na Wana Ccm Wenzangu Hasa Viongozi Katika Majukwaa Ya Kisiasa. Kauli Kama Hizo Zinanitia Ukakasi Kwa Upande Wangu Sijui Wengine. Kwanin Wasiwahamasishe Kuisoma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Prof.Lumumba kutoka Kenya,nilimsikiliza kwenye Kigoda cha MWL.Nyerere na leo nimemsilikiza vizuri. Jamaa naona anastahili kabisa kuitwa Prof. Tuna maprofesa hapa lakini walio wengi wametekwa...
8 Reactions
55 Replies
6K Views
Toka nilipojitambua moja ya kitu ambacho sitamsamehe baba wa Taifa ni kutupa mamlaka ya nchi yangu ya TANGANYIKA. Nimezaliwa baada ya muungano lakini kwa kadri ya uelewa wangu No Tanganyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bila shaka mwaka 2010 kulikuwa na Uchaguzi Mkuu na mnafahamu vyama viliweka Sera zao kwenye Ilani zao! Mnafahamu Chama kilichoweka Sera ya Serikali 2 kilipata kura nyingi za Urais, Ubunge na...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Rais Kikwete amekuwa anarudia rudia kauli ya "Akili ya kuambiwa, changanya na za kwako"! Falsafa yake ni kuwa, Ndege Gong'ota amabao ni genge la watawala mafisadi wa CCM, wanatuambia Katiba...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Hatimaye leo jioni wakati wa chakula kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa hayati mwalimu Julius K. Nyerere, rais Jakaya Mrisho Kikwete amekiri kuwa hakuna muitikio wowote kwa...
6 Reactions
53 Replies
8K Views
Zitto Zubery Kabwe amepangua hoja dhaifu za CCM kuhusu gharama za uendeshaji wa serikali ya shirikisho kwa kuwaambia kuwa Tanzania inao uwezo wa kuendesha serikali ya idadi yoyote ile ikiwa...
9 Reactions
69 Replies
8K Views
UKAWA chondechonde, msitudanye sisi watu wazima. Niko tayari kuutetea ukweli huu hata aje nani. Kama mmeshindwa kuzuia wizi wa kura za katiba ya CCM, kwa wajumbe wenu 67 wa UKAWA, mtawezaje kuzuia...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Kuna MwanaCCM hapa JF anajiita WA TANGA. mtu huyu kaandika rundo la propaganda dhidi ya Ziara ya Jaji Warioba. Ieleweke Jaji Warioba wala CHADEMA au Ukawa hawajaanda Makongamano ya Warioba Bunda...
27 Reactions
102 Replies
12K Views
Ikiwa tu dhamira ya watanzania wote ni kupata katiba mpya ambayo itatekeleza yale watakayoamua,na ikiwa dhamira hiyo ni hai basi mpaka sasa hakuna cha kuwazia kutimiza dhamira hiyo. Maamuzi yako...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huku hali ikiwa haijatulia ya makuamu wa NCCR Zanzibar kukana kupiga kura achilia mbali kupiga kura ya ndiyo, imegundulika mjumbe mwingine Zakia Meghji aliyeteuliwa upande wa bara na jina lake...
20 Reactions
146 Replies
17K Views
Hakika si televisheni ya Taifa bali ya chama. Tena wanapigia upatu katiba yao
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa alia kwenye vyombo vya habari akilia kuwa hakupiga KURA ya ndio katika kura za kuipitisha Katiba ,ni aliepiga kura ya HAPANA ,ni mjumbe wa bunge hilo la KATIBA kutoka ZANZIBAR . MMOJA wa...
9 Reactions
381 Replies
41K Views
Ignorance is darkness, Ignorance brings fear, fear to lose the peace which is not there. This complicates the ability to dare,hence no struggles for new life/the reasonable standard. Ignorance...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
NAUNGA MKONO KURA YA WAZI KWENYE BUNGE LA KATIBA Mimi si muumini wa mchakato huu haramu wa Katiba Mpya; sijawahi kuwa muumini wake; sikubali uhalali wake na katika mengi kabisa naamini ni...
6 Reactions
101 Replies
9K Views
Wadau, Katiba inayopendekezwa haina maridhiano. Tafsiri yake ni kwamba, katiba hiyo ni ya CCM au upande mmoja,, na ina maslahi sana kwa CCM kuliko taifa.. Je wewe unaonaje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilishasema hesabu muhimu. Nilipokuwa natafakari idadi ya wajumbe kuongezeka na kutoweka niliamua kupakua matokeo kutoka tovuti ya bunge maalumu. http://www.bungemaalum.go.Tz/.../MATOKEO_BARA_NA...
9 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom