RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa sherehe za Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, zingekuwa zinamkejeli moja kwa moja Mwalimu kama Katiba...
Ndugu wana JF
Katika kipindi cha HOTMIX Mwenyekiti wa wasanii wa BONGO MOVIES amewasihi wasanii wenzake na wananchi wote wa Tanzania kupiga kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopendekezwa...
Tumejadili. Tumeandika. Tumepitisha. Tumecheza na kurukaruka. Tumekabidhi. Tusubiri kura ya maoni. Tusubiri wananchi wapitishe au wakwamishe.
Kilichotokea wakati wa mjadala,uandishi na...
Ukisikia mambo mazuri ni hayo Mwanasheria wa Zanzibar OTHMAN (AG) amefanya. Tuna hulka kwa watu wastaarabu kulaani matendo mabovu na kusifia au kupongeza matendo mema.
OTHMAN ameonesha kwa...
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila
Joto la kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), linazidi kupanda nchini baada ya wabunge na vyama vya...
Hi people??????, Narudi tena kuwakumbusha tu, watanzania hususani vijana wenzangu nawapenda sana wote bila kujali itikadi zetu maana tunasahau uhuru wetu tuliupata bila vurugu na silaha wala...
Nimekuwa najiuliza sana swali hili; hivi Watanzania katika kura ya maoni wakipiga kura ya Hapana itamaanisha nini? Wanakataa kubadilisha katiba na wanataka ya zamani iendelee, au wanakataa Rasimu...
HOTUBA YA MHE. HAMAD RASHID KATIKA SHEREHE ZA MAKABIDHIANO YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MJINI DODOMA AMBAYO...
Misimamo ni muhimu sana katika maisha ili kufanikiwa, sio vizuri kubadilika badilika kama kinyonga ni hatari.Msimamo wa UKAWA kupinga BMK kupitisha rasimu isiyo ya maoni ya wananchi kwa...
MBUNGE wa Jimbo la Urambo Mashariki Samwel Sitta, amepokelewa kwa kishindo Jimboni kwake Urambo na kuhutubia katika Viwanja vya Mwananchi Square.
Sitta akihutubia wapigakura wake alielezea jinsi...
Nakumbuka mchango wa Mhe. Mbowe akipendekeza kuwepo tume ya mishahara itakayosimama ulipwaji wa mishahara kwa wafanyakazi wa bunge, serikali na mahakama, wakiwemo viongozi (wabunge, majaji nk)...
Wakati wa vikao vya jioni hii vinaanza, Mwenyekiti wa Bunge Maalum amelitaarifu Bunge kuwa Akidi kwa bara iko zaidi ya 2/3 ya wajumbe walio ndani ya Bunge Jioni hii, na kwa upande wa Zanzibar...
Itakuwa busara katiba pendekezwa ikawa katiba kamili bila wananchi kupiga kura! Hakuna asiyejua kama wananchi hawana maamuzi ya kupitisha au kutopitisha katiba pendekezwa ila ni kikundi kidogo cha...
Kama hii katiba itavuka huko mitaani basi ni katiba itakayodharauliwa dunia nzima na haitaheshiwa pia uhalali wake unaweza kuhojiwa mahakamani na kesi za kimataifa kwani uhalali wake ni wa kutia...
Heshima kwenu wana Jamiiforums.
Vyama vya siasa nchini Tanzania vilianzishwa kwa nia ya kukomaza demokrasia na kuleta mageuzi katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Bila ya kupoteza...
Ndugu watanzania
Je huko uliko umeona haya ? CCM sasa wanapita usiku nyumba kwa nyumba wnagawa kadi na kuandikisha vijana na kutumia Vikundi vya akina Mama wajasiliamali ili kupata kura ya ndiyo...
Mheshimiwa Sita alionywa asiikumbatie CCM na kujipendekeza kwa kumbatia makaburasha ya akina Chenge na wenzake na kuitia kwenye madroo Rasimu Ya Tume ya Jaji Sinde Warioba.
Sitta kwa...
Wakuu,
Hivi karibuni kabla ya kupigia kura Rasimu ya "Chenge/Sitta" Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliwaahIdi Waislamu kuwa eti atapeleka Muswada Bungeni ili kuunda Mahakama ya Kadhi huku akijua kuwa...
Mpaka sasa kuna ushahidi wa kutosha wa kimazingira kuwa katiba inayopendekezwa imepitishwa kwa kukiuka kanuni na sheria za nchi ikiwemo "forgery"(rejea taarifa ya mh.Mbatia na Deus Kibamba).Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.