Una boronga bila haya lakini bado una taka watu waamini wewe ni shujaa,shujaa ilihali katiba ni maridhiano Wakati tulipokuwa tuna toa maoni yetu si mngetangaza kuwa katiba hii ni ya mashindano...
Ilivyotoka tu rasimu Ya katiba inayopendekezwa na bunge maalumu la Katiba, Mimi nilipata bahati kuipata siku hiyohiyo nikasoma baadhi Ya mambo yanayoleta mvutano na rasimu ya waryoba ambayo ni...
Ukawa achaneni na maandamano pamoja na mikutano ni kupoteza pesa zinazohitajika kwa ajili ya chaguzi na maendeleo ya vyama vya siasa, kinachotakiwa ni kutumia taratibu za kisheria kupinga...
wasanii wamesema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.
"Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza...
Watu wengi sana wanatoa maoni juu ya katiba inayopendekezwa kwa mtazamo wa kusikia sikia tu naamini wengi sana wanacomment wasichokijua inaonekana katiba ya zamani hawajaisoma na hawaijui, rasimu...
Namna mambo ya siasa yanavyokwenda nchini yalikuwa sio bayana kwa watanzania walio wengi. Wako watanzania waliokuwa hawajui kama upo ujanja ujanja katika kuendesha siasa na demokrasia nchini...
Kwa aliyefuatilia mjadala HotMix EATV ataamini kuwa kuna uchakachuaji wa hali ya juu kuhusu idadi ya wajumbe. Takwimu zilizo kwenye katiba zinaonesha Zanzibar wajumbe 212 na Bara 416 jumla 628...
Heshima wakuu.
Tunapotafakari mambo yahusuyo Muungano wetu (Tanganyika na Zanzibar) kwanini kunazaliwa majina ambayo yanafuta uasili wa nchi zilizoungana?
Mfano Tanganyika kuitwa Tanzania Bara...
Mara baada ya Tume ya warioba kukabidhi rasimu, tovuti ya tume hiyo ilifutwa kwa madai ya kwamba tume imemamiliza kazi yake. Mbona tovuti ya bunge maalamu haifutwi ilihali bunge limemaliza kazi...
TBC imetaarifu asubuhi hii kwamba maelfu ya wakazi wa Urambo wamejitokeza kumlaki na kumsimika Mh Samwel Sitta kwa ushupavu aliouonesha hadi kukamilika na hatimaye kupatikana kwa Katiba...
Dr. Bana yuko live Channel 10 muda huu na katika mazungumzo yake na mtangazaji, anasema yeye ni muumini wa serikali moja na kwamba haamini mfumo uliopo wa serikali mbili utamaliza kero za...
Waliokuwa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifurahia baada ya kumaliza kazi ya kutunga Katiba mjini Dodoma hivi karibuni
Dar es Salaam. Utata umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha...
Kashilila Ambaye Ni Katibu Wa Bunge, Amekiri Pia Kuwa Mjumbe Hadji Ambar Khamis Makamu Mwenyekiti Wa NCCR Mageuzi Ameingizwa Kimakosa Wala Hakupiga Kura.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Makamu...
East Africa Television (EATV) "Wananchi, katiba haikubaliki kwa Wazanzibar, mimi mwenzenu siikubali sijui
nyinyi wenzangu, katiba hii haina maslahi kwa Wananchi wa Zanzibar na hatuitaki". Maneno...
Katika bunge la katiba mwenyekiti Samwel Sitta alidai kuwa ametukanwa na mh. John Mnyika mbunge wa Ubungo kwa kumwita muharamia na mchochezi akiwamo yeye Sitta na mh. Andrew Chenge,lakini Sitta...
Tukikumbuka mikutano yao kuwa katiba sio muarobaini ya matatizo ya wananchi, sasa katiba pendekezwa imo mikononi mwa Rais Kikwete na Shein na Rais Kikwete kaishaanja kuipigia kampeni ya NDIYO...
Wana jamvi hasa mnaopenda mabadiliko msisononeke moyoni kwani mwenyenzi Mungu aruhusu suala hili litokee maana kama mtakumbuka wakati wa mabishano ya aina ya kura itakayotumika wazi au siri wao...
Hv mtatufanya watanzania kuwa wajinga mpaka lini?
Nashangaa mnatudanganya wazi wazi kama mchezo wa kuigiza! katka swala la katiba yenu mnayoitengeneza tamkeni hadharani ni katiba ya CCM na si...
Dar es Salaam. Kung'olewa kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman katika nafasi hiyo ni kama kumewasha moto visiwani humo huku mwenyewe akisema: ‘Ipo siku ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.