Wadau; habari ya weekend. Ninaendelea kuisoma katiba pendekezwa, ninapata ugumu katika mambo fulani. Katiba pendekezwa inasema kutakuwa na idadi sawa ya wabunge wanawake na wanaume
Katiba inasema...
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha...
Warioba kachakachua maoni ya Wazanzibari 67% waliotaka Muungano wa Mkataba wao wako kimya, sio kitu, lakini Bunge Maalum la Katiba kurekebisha Rasimu ya Warioba kwa 19% imekuwa tabu.
Kwa mtindo...
Dodoma.
Siku chache baada ya Bunge la Maalumu la Katiba kumaliza muda wake, matumizi ya fedha zilizobaki kwenye Bunge hilo yameibua mvutano baada ya kuwapo taarifa kuwa fedha hizo ziliisha, huku...
Kisheria,katiba inayopendekezwa inatakiwa kupitishwa na 2/3 ya wajumbe wa kila upande wa muungano.Imeripotiwa kuwa katiba pendekezi imepitishwa kwa kura za ndio kuzidi za hapana.Maana yake ni kuwa...
Kutokana na Maoni ya Waislamu Kudharauliwa na Kutupiliwa Mbali kwa Ghilba na Dharau kubwa, Sheikh Juma Poli amewataja Maadui wa Uislamu chini Tanzania Kua ni CCM, MAASKOFU na BAKWATA. Sheikh Juma...
Wakati wa upigaji kura ya maoni khs katiba pendekezi kuna uwezekano mkubwa kura ikapigwa wakati wanachuo wote wako mazingira ambayo watashindwa kupiga kura ili katiba hiyo isiangushwe.
Rais Jakaya Kikwete amewashangaa watu wanaodai kuwa Katiba inayopendekezwa ni mbaya na kuhoji kama hiyo mbaya, nzuri ikoje.
Amesema Katiba inayojali makundi yote ndani ya jamii kama ilivyo Katiba...
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Wa Kanisa Katoriki Tanzania Ambae Pia Ni Mwenyekiti Wa Baraza La Maaskofu Tanzania Mhashamu Baba Askofu Mkuu Ngalalekumtwa Amawataka Watanzania Kuikataa Katiba Mpya...
Nawapongeza UKAWA kwa kutambua kua suala la katiba inayopendekezwa limepita na kilichobaki sasa ni kwa wanamchi kupiga kura ya maoni, lakini nataka nitoe tahadhari moja kama walishindwa kuizuia...
Ofisa ubalozi wa Tanzania nchin Saud Arabia, alieandika barua kwa niaba ya balozi wa Tanzania nchi humo,ameagizwa kureje nyumbani.
Afisa Balozo huyo aliejulikana kwa jina moja la Masoud...
Mjumbe wa bunge maalum wa lililokuwa bunge maalum la katiba amekanusha kupiga kura ya siri ya ndiyo.
Amesema haya mbele ya waandishi wa habari huku akilia kwa uchungu mzito.
Habari kamili...
siku hizi imezoeleka mtu ukiipinga katiba inayopendekezwa unaitwa we Ukawa ingawa kuwa Ukawa sio dhambi...
To drive a point home ni kuwa aihitaji mtu uwe Ukawa ndio uipinge katiba...
Salaam wana jf.
Nashangazwa sana na wito wa maandano kutoka kila kona ya nchi yetu kwa takariban wiki mbili zilizopita,kwa kile kinachodaiwa KUPINGA MABADILIKO YA RASIMU YA PILI KATIBA.
Na...
Akihojiwa na BBC amesema hayo yanaitwa mazuri kwenye katiba huwezi kuyadai mahakamani na yanasimamiwa na mafisadi baada ya kuondolewa kipengere cha uwazi na uaminifu.
Amesema Amos Wako mkenya...
Hatimaye katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba ilikabidhiwa juzi kwa marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenzake wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na hivyo kuashiria mwisho wa...
Heshima kwenu wanabodi,
Nimewiwa kushare hii news ya mafanikio ya soko letu la Hisa katika ngazi ya Africa.kimtazamo Uzi huu ungetakiwa kupelekwa kwenye jukwaa la biashara na uchumi.Lakini...
Kuna kila sababu yakujiuliza ninani mkweli wa akidi ya wajumbe wa bunge la katiba je Mwenyekiti wa bunge ndugu Sitta au Rais wa Jamuhuri ya Muungano Kikwete
Kutokana na idadi ya wajumbe Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.