Kulingana na taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa taasisi hiyo ya TI, Jose Ugaz, takwimu hizo zimelinganisha viwango vya uwajibikaji na udhibiti wa rushwa katika sekta ya umma.
Jana...
DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE THE AFRICA'S TOP DIPLOMATIC GENIUS!!
Jakaya Kikwete, Africa's The Diplomatic Genius
President Kikwete has raised Tanzania's standing in the global stage. He...
Wandugu ni ukweli usio pingika kuwa Bunge maalum la katiba lilipokaa kwa mara ya kwanza kulitokea mpasuko mkubwa kati ya wale wanaotetea rasimu ya katiba kama ilivyoandaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu...
Kinachoendelea bungeni sio suala linalohitaji mbwembwe za kuongea wala siasa wala mrengo wa itikadi ama chama fulani.
Ni suala ambalo linatutaka sisi sote watanzania wazalendo kutumia taaluma...
Nimeweka baadhi ya tunu zilizowasilishwa na tume ya jaji warioba hapo juu. Nina uhakika kwa sababu sisiem wanatengeneza katiba yao na si ya watanzania hizi tunu hazita ona mwanga kwenye katiba...
Wakuu Tume ya Warioba kulipuka tena siku ya jumanne wiki kesho.ITV television ya taifa itakuwa hewani kama kawa.Mida kuanzia sa 9 mpaka 12 jioni.Wazungumzaji ni walewale wafia nchi...
Habari wadau.
Nimepitia vyema Rasimu ya akina-Chenge na BMK, na nimejiridhisha kuwa Ufisadi, Umaskini, Ukosefu wa Ajira na matatizo mengine mengi yataendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo. Mfano...
Asema kuwa wapinge yanayopingika na waunge mkono yaliyo mazuri... haiwezekani kuona kwenye katiba yote hayakubaliki, hayafai, tukatae....
Note kuwa: Leo ni Wasira na kesho saa tisa jioni ni...
...Sisi wajamaa...,siasa yetu ni ujamaa na kujitegemea....mara sisis soko uria...fiksi tu....viongozi wa ccm kila mara wanawaimbia wananchi!Looh hawana haya!.Uongo!ujamaa na kujitegemea ulizikwa...
MAMBO MUHIMU KUYAFAHAMU KUHUSU KATIBA PENDEKEZWA
YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
MASWALI SABA YA KUJIULIZA SISI KAMA WANANCHI
HOJA ; Mapendekezo ya Wananchi kupitia Tume ya Jaji Warioba na...
Na Padre Baptiste Mapunda (M.afr)
frmapunda91@gmail.com
Kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika bunge la katiba mpya inayopendekezwa siku ya kuanza kupiga kura kwamba serikali ikatunga sheria...
Nijuavyo ni kwamba ili kupata kitu bora zaidi ni lazima ushughulike na mambo
ambayo yanakasoro, hivyo itakua wendawazimu kupoteza muda kujadili mambo
yaliyokaa vizuri ambayo wote tunakubaliana...
UKIMALIZA KUSOMA **SHARE** NA WATU WENGI ZAIDI WAUJUE UKWELI
MAJIBU KWA BAADHI YA HOJA ZINAZOPOTOSHWA NA WANAOPIGIA CHAPUO KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Katiba Inayopendekezwa ina kiwango cha ubora...
TUNAHITAJI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI, "LIKE" YAKO KWA UKURASA WANGU ITAPELEKA MAARIFA KWA WANANCHI WENGI ZAIDI. BAADA YA KU-LIKE *SHARE*
Tunaendelea vema, nafarijika na wote mnaounga mkono...
Bila kuathiri matakwa ya kila chama ndani ya katiba. Nawaomba wanabodi tuichanganue hii katiba hatua kwa hatua.
Ningependa tuchambue na kutoa mifano iliyomo kwenye katiba pendekezwa. Huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.