Ni kuhusu Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30,2015. Tarehe inazua kizungumkuti kisheria.Inashindikana. Inaikimbiza Kura ya Maoni juu ya Katiba Inayopendekezwa kusikojulikana...
Ivi Tunaelewa Kweli Maana Ya Kura Ya Maoni Juu Ya Katiba Inayopendekezwa? Kama Mimi Na Wewe Tunaelewa Lakini Je, Mwananchi Wa Kawaida Anajua Nini Afanye? Niwaambie Wengi Wa Wananchi Wanachokijua...
Katiba ni taratibu, muongozo wa namna watu, kikundi cha watu, taasisi ama shirika wamekubaliana kuzifuata ili kuwawezesha kuishi.
Tanzania iko katika mchakato wa kupaata katiba mpya, na...
Baada ya Bunge Maalum la Katiba kugawanyika kwa misingi ya kisiasa na itikadi za vyama, hofu nyingine ya kulisambaratisha kwa itikadi za kidini inalinyemelea kutokana na hoja ya kuwapo msuguano...
Kila ukikaribia uchaguzi CCM huja na mbinu chafu za kuwagawa wananchi ili wapate kura hata kama mbinu hizo zinamatokeao mabaya kwa amani ya nchi yetu. Hivi sasa CCM wameshatupa fupa ili wananchi...
Habari wana JF!
Ingawa sikubaliani na mchakato wa upigaji kura kwaajiri ya KATIBA INAYOPENDEKEZWA,si mbaya pia kuwekana sawa katika baadhi ya mambo,
Nimejaribu kujiuliza kama watanzania watapiga...
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kusini Issaya Mengele amesema atahamasisha waumini wa kanisa lake kususia upigaji kura ya maoni ya Katiba iliyopangwa kufanyika April 30 mwaka huu.
Askofu Isaya...
Hatimae wabunge wa Bunge maalumu la katiba wamekataa mahakama ya kadhi kuwa kwenye katiba. Lakini wameona kwamba mahakama hiyo iwepo lakini iendeshwe na wahusika. Wanasema hata kwenye katiba ya...
UKAWA haitashiriki mchakato wa kura za maoni za April 30th - UKAWA imepinga katiba pendekezwa kupitishwa kibabe na Bunge pale Dodoma - amesema Prof Lipumba.
=============================
Dar es...
Nimesikia kwa masikitiko makubwa sana kuhusu sheria ya kura ya maoni itakayo tumika kwenye kupigia Katiba pendekezwa
1. Eti Wanzanzibar watapiga kura hata wakiwa bara? Nani atawatambua, je...
Salaam,
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema,kwa kutufungua akili hasa wengi wetu kuhusu siasa za nchini,kwa kutupa kiongozi kama Raisi Kikwete.Ni wazi bila huyu mzee...
Enyi watanzania, wapenda maendeleo, wapenda amani, umoja, mshikamano pamoja na ninyi wanasiasa wa vyama vyote NAWAULIZA, Kifungu cha 5(3)&(4) cha Sheria ya Kura ya Maoni kinasema Tume ya Taia ya...
wakati kulipokosekana muafaka wakati wa bunge maalumu, mafisadi wa ccm na mwenyekiti wao hawakusikiliza maoni na rai za wanannchi kusimamisha bunge hilo, sasa wnanchi wanataka kura ya maoni...
KABLA YA KUULAANI AU KUUBARIKI UAMUZI WA UKAWA KUSUSIA BUNGE NAOMBA USOME HAPA MTIRIRIKO WA MATUKIO YALIYOTUFIKISHA HAPA KISHA UTAAMUA, MBIVU NA MBICHI NI ZIPI.
MJULISHE NA MWINGINE UJUMBE HUU...
Hakuna kilichowatia hofu ukawa kususia kura ya maoni zaidi ya matokeo ya uchaguzi wa serikal za mitaa na ziara za kinana bara na zenj. Poleni sana ukawa.
UKAWA wajue kuwa Siasa ni mbunu, sayansi, kupima kwa mizani na kuhesabu kwa makini, kwani kosa moja huweza kugharimu jitihada kubwa zilizokwishafanyika hasa mpinzani wako akiwa na vitendea kazi...
Ndg wanajamvi,
Mojawapo ya pendekezo lililokuwa limewekwa kwenye rasimu ya katiba ya tume ya Warioba ni BUNGE KUWA NA MAMLAKA YA KUTHIBITISHA UTEUZI UNAOKUWA UMEFANYWA NA RAIS KWENYE NGAZI YOYOTE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.