vita baina ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) na Baraza la Maaskofu (TEC) vimepamba moto huku baadhi ya wajumbe wa NEC-CCM (Sitta na Migiro) wakiingia ulingoni dhidi ya TEC.
Angalizo; haya...
jamani kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu katiba inayopendekezwa. Kila mtu anasema lake lakini hatuwezi kukataa kuwa Katiba Inayopendekezwa inawajali wazee wanaobisha ni wabishi wa asili.
KUHUSU KURA YA MAONI na muchakato mzima wa kupata katiba mpya inayokubalika
Nimepata wazo jipya, badala ya kusema tunapigia kura rasimu ya katiba inayopendekezwa, kura ya ndiyo au hapana...
IBARA YA 58.
Wazee ni hazina ya taifa letu.
Katiba Inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii.
Ndani ya Katiba Inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika...
Binafsi mpaka sasa uelewa nilionao juu ya serikali yetu juu ya mambo mengine likiwemo suala la MCHAKATO WA KATIBA MPYA MPAKA KUFIKIA HATUA YA UPIGAJI KURA ni kuwa serikali hii ni mchawi wa...
Mtu wangu wa karibu zaidi ambaye ni muajiriwa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi ameniambia "Jumatatu iliyopita tumetakiwa kupeleka majina yetu pamoja na vituo...
Naiomba sana Serikali ya chama changu. Iheshimu suala hili nyeti la katiba mpya. Katiba ni moyo wa nchi. Si jambo la kuletewa mzaha na maigizo. Nimesikitishwa sana na nilichoshuhudia kuhusu nakala...
KURA YA NDIYO kwa Katiba Pendekezwa ni muhimu sana katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na matamko mbalimbali kutoka kwa viongozi wa dini wakionyesha tofauti zao, ni vema wananchi tukaisoma...
Midahalo ya Katiba Inayopendekezwa inaendelea saa hizi katika kumbi za makanisa kadhaa! Taarifa zilizonifikia kutoka sharika mbalimbali, vijana wameitisha makongamano kujadili katiba pendekezwa na...
MAMBO 20 MUHIMU YA WANANCHI YALIYOTUPWA NA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
UNATAKA KUUJUA UKWELI BASI SOMA HAPA NA MJULISHE MWENZIO.
Katiba Inayopendekezwa ina mapungufu makubwa na imeyatupilia mbali...
Kutokana na hoja hizo zinazolibana Taifa, Sikuwa natarajia kama ipo siku viongozi wetu watawadhihaki wananchi, kwani haiwezekani uwaambie kuwa kura ya maoni itafanyika Aprili 30, wakati...
Mhe Sumaye alisema bila kupepesa macho kuwa viongozi wa Dini wanna wajibu wa kukemea na kuwarudisha kwenye njia sahihi wanasiasa akasema namsikia mwanasiasa anasema mnatuingilia...nani kasema...
HABARI KUBWA LEO.NI VITA MAASKOFU NA MASHEHE,WAISLAM WATOA MASHARTI MAZITO KWA KIKWETE,WAIRUSHIA KOMBORA BWAKWATA,SOMA HAPA KUJUA
Pich ani niNaibu Katibu Mkuu Taasisi ya Kiislam nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.