Mbeya. Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema si dhambi kwa wananchi kupiga kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.
Akizungumza juzi jioni kwenye mdahalo wa Katiba...
Katika utumishi wako, inaonekana kila sehemu unapoenda hukubaliki, kutokana na kujfanya kwamba unajua kila kitu hata wakubwa zako wewe huwasikilizi, unadharau hata waliokusomesha.
Wewe kutoka...
Dar es Salaam. There is no consensus on the fate of the
constitutional process after the postponement of the referendum,
with stakeholders divided on what is the next course of action.
While the...
Kumbukumbu zangu zinaniambia dhahiri kwamba wewe Padri Jean Baptiste Mapunda ulishwahi kufukuzwa kule Zambia katika Shirika la MISSIONARIES OF AFRICA ndo ukarudi hapa nchini ukaendelea kuchonga...
Mhe. ZZK, Zitto Zuberi Kabwe amesema yuko tayari kujiunga na UKAWA. Ikumbukwe Zitto akiwa CHADEMA ndiye alikuwa mstari wa mbele wa waliosema hatukukubali mjadala wa Bunge la Katiba kuendelea...
siku zote tunasema waziri mwandamizi (rasimu) waziri mkuu (katiba) atakuwa na wajibu wa kudhibiti na usimamizi wa shughuli za kila siku.
lipo tatizo la sisi kutokuwa na mfumo wa kitaifa...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia hoja zetu katika katiba PENDEKEZWA!mwingine unakuta anabisha na kusema hapana kwa katiba pendekezwa wakati Hana Upande wa ndiyo!sasa ujenzi wa taifa...
Kwa mara ya wanza katika historia hapa nchini kwetu, Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 4-(4) LUGHA YA TAIFA NA MAWASILIANO MBADALA tunaona kuwa Katiba hiyo imewajali watu wenye ulemavu...
Wakati tukielekea katika kura ya maoni inayotarajiwa kufanyika katikati ya mwaka huu kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi. Napenda kuwaasa watanzania wenzangu usikubali kurubuniwa na kulishwa...
Wana JF Hii sehemu ya Usajili na usimamizi wa vyama vya siasa kwenye katiba inayopendekezwa baada ya kuisoma nimeipenda.
Sehemu ya 3 ya Katiba inayopendekezwa Ibara ya 224 imeeleza vizuri Usajili...
mimi ni mtanzania mwenye akili timamu, katika pitapita yangu nilibahatika kumsikia kiongozi mmoja wa dini (picha imeambatishwa) akizungumza na watanzania kupitia chanel ten kuendelea kuligawa...
Wewe fikiria kwamba eti mwanamke anaogopa kuonana na mwanaume kisa ni kuogopa kuwa akionana naye tu na jamaa akamwaga sera huyo mwanamke anahisi kwamba hawezi kumkatalia, kwa hiyo dawa yake ni...
Watanzani baadhi wamekuwa wavivu wa kusoma na hili ni janga ktk taifa letu, maaana kusoma hawataki lkn wanaamini tu kwa yale wanayoambiwa na watu wa pembeni jambo ambalo si zuri hususani katka...
inasikitisha kuona kwa busara zetu au kwa ujinga wetu watanzania leo hii tuko tayari kupoteza nafasi hii hadhimu ya kujenga mwanzo mpya.
badala ya kujadiliana kuandika katiba tunabishana na...
Nimeandaa dume la ngombe, Oktoba 31, mwaka huu. Ukija hapa siku hiyo nakukaribisha katika sherehe kubwa nitakayoiandaa nitachinja dume na kuwaaga viongozi wa Chadema watakaokuwa wamechaguliwa...
Katiba ni mali ya watanzania wote bila kujali dini, kabila, umri, na elimu ya mtu. Hivyo ni vema serikali ikahakikisha maridhiano kabla ya kuirejesha kwa wananchi ili ipigiwe kura. Haitakuwa...
* Nakala halisi ya Mapatano ya Muungano hii hapa.
* Ni ya size ya A4, tofauti na ile ya ikulu ya Magogoni.
* Ina muhuri wa SIRI, kama inavyotakiwa mikataba ya kinchi ya kimataifa inayosainiwa na...
makundi mbalimbali yamekuwa yakipigania kutajwa katika katiba na hata wengine kudiriki kutaka mambo ambayo kimsingi si ya kuingia katika katiba.
hapa tumejisahau kuwa kinachotusumbua si kutotajwa...
mimi ni mtanzania mwenye akili timamu, katika pitapita yangu nilibahatika kumsikia kiongozi mmoja wa dini (picha imeambatishwa) akizungumza na watanzania kupitia chanel ten kuendelea kuligawa...
Haki ya kufanya
kazi
44.-(1)Kila mtu ana haki kufanyakazi ya kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe na kupata ujira unaostahili.
(2)Kila raia ana haki na fursa sawa kushika nafasi yoyote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.