Kwa masaa machache yaliyobaki CCM watampata mgombea urais aliye bora au ndo ile tufanyeje na huyu anafaa?? kwakawaida tumekuwa tukipata mgombea urais tangu February leo tunakaribia Juni hakuna...
Naangalia TBC sasa hivi, Namuona Rais wa Nchi yetu akiongolea suala la kura kwa katiba Pendekezwa. Inaonekana Rais amelishwa maneno mengi ya Uongo kuhusu ukusunywaji wa Maoni ya Katiba hiyo...
Napenda kuwasihi ndugu zangu wazanzibar ambapo binafsi nina undugu nao wa damu kabisa kwa upande wa mama yangu mzazi kuisoma vizuri kabisa, Katiba Inayopendekezwa, kifungu kwa kifungu ili kuepuka...
53.-(1) Kila mtoto ana haki ya:
(a) kupewa jina, uraia na kusajiliwa;
(b) kutoa mawazo, kusikilizwa na kulindwa dhidi ya uonevu, ukatili, udhalilishaji, utumikishwaji na mila potofu;
(c)...
Ibara ya 68 kifungu cha 1 hadi cha 2,vifungu hivi viwili vinaeleza Mtu anayestahili kuwa Raia wa Tanzania kwa mjibu wa katiba na kifungu cha 2 ibara hiyo hiyo ya 68 Aina za Uraia na namna ya...
Katiba Inayopendekezwa pia inatoa fursa ya kuunda tume ya usimamizi wa uratibu wa mambo ya Muungano, chombo kitakachoshughulikia moja kwa moja mambo ya Muungano na malalamiko yake wakati...
lipo tatizo la nchi nyingi kuwa na nadhalia ya mihimili mitatu ya utawala lakini mihimili hiyo kuuliwa kutokana na jinsi mihimili hiyo inavyoundwa katika katiba na mwisho ni kuwa na mhimili mmoja...
Behind the scene ya kila kinachoonekana kuipinga katiba inayopendekezwa na wale wanaojiita UKAWA ipo katiba ibara ya 97
Chanzo cha kuaminika toka katika umoja huo kinasema kuwa, kutokana na...
Ndugu wana jamvi naomba nilete hoja hii inayoizungumzia SMZ na Mamlaka yeke kwa uzuri kabisa kwenye Katiba Inayopendekezwa!
Ibara ya 163-(1) Inatamka wazi kuwa na Serikali ya Zanzibar...
Ni wasaa mwingine watanzania wenzangu tukibadulishana mawazo katika mtandao huu adhimu kwa mada motomoto,natumai mungu amewajalia heri katika shughuli zenu za kila siku ..
Wote ni mashihidi kuwa...
Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia...
baada ya kupata katiba inayo pendekezwa,macho na mawazo ya watanzania wengi ni juu ya zoezi la upigaji kula juu ya katiba inayo pendekezwa.
yapo makundi mbalimbali ambayo yamejipanga...
"MTWARA ya sasa ni tofauti na ile ya miaka ya 2011 na kurudi nyuma, kwani ilikuwa ikidharauriwa na haikuwa ikifikika kwa urahisi kutokana na miundombinu mibovu hususan barabara."Ilikuwa si ajabu...
Kati ya mambo ambayo nimefurahishwa nayo ni hili la UKAWA kukubali Katiba inayopendekezwa,suala la mgombea Huru/Binafsi, tume Huru ya uchaguzi,Matokeo ya Urais kupingwa mahakama ya juu,Suala la...
VS
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamanda wa CHADEMA Mkoani Arusha jana wametangaza rasmi kukiasi chama hicho kutokana na kiongozi wao,Mhe Mbunge Godbless Lema kutowajali vijana hao huku...
Waungwana,
Katika katiba pendekezwa, kumetajwa haki mbali mbali mfn za akina mama, wazee, vijana, watoto, wasanii, wakulima, wafugaji, nk. Je, kuna kifungu kinacho kataza baadhi ya haki hizo...
Kuna watu wanadhani Zanzibar ni nchi tangu mwaka 2010 ilipobadili katiba yake. Nimevutiwa na uchambuzi wa gazeti la RAIA MWEMA lililotufafanulia kwamba kumbe Zanzibar ilibaki kama sovereign stat...
Akiongea ktk kipindi cha Morning Trumpet kinachorushwa na Azam Tv,aliyekuwa mjumbe wa Bunge la Katiba ndugu Amon Mpanju amesema tume ya Jaji Warioba na wajumbe wake waliongozwa na mihemuko na si...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha jana kupitia ITV kwenye taarifa ya HABARI YA SAA 2 Usiku mmoja wa viongozi wa UKAWA aliweka wazi kuwa ndani ya UKAWA kuna mgongano wa kimasilahi...