Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho...
Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa?
Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World...
Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi
Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi
Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi...
Ni mapendekezo tu
Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa...
Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa...
Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo...
Ndugu zangu watanzania poleni na majukumu na maumivu yaliyotawala miyoyoni mwenu takribani miaka 62 tangu nchi hii kupata uhuru.
Ndugu zangu msingi imara ndiyo huweka uimara wa nyumba inayojenda...
Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa...
Habari wakati huu..
Wakuu, je kwanini tunataka Katiba Mpya?
Sikatai katiba tuliyonayo ina madhaifu lukuki, hata katiba tulionayo inafatwa inavyotakikana?
Sote ni mashahidi, katiba tuliyonayo...
Maoni ya kupata Katiba mpya na safi itokane na WANANCHI wenyewe wa Kila makundi kupitia mikutano ya Kitongoji, Kijiji na mitaa na sio kutafuta wawakilishi ambao waliowengi wanatoa mawazo dhahania...
Kwa mara ya kwanza kabisa nitashiriki katika kongamano la KATIBA MPYA hapa kwa dhumuni maalum lenye kutoa fursa ya mawazo mbadala nje ya rasimu ama ile ilopendekezwa ambayo muda sii mrefu mchakato...
Habari zenu wanaharakati..
Nimekubali kuwa mjinga ili nielewe umhimu wa kuwa na katiba mpya.
Najieleza, katiba ni muhimu kwa nchi yeyote kwani ndiyo inayotoa mwongozo katika utungaji wa sheria...
Salam!
Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake.
Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Sasa...
Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya
Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda...
Kutokana na mijadala mitandaoni inaonekana tuna SHERIA zinazokinzana au kupora mamlaka ya kifungu cha KATIBA.
Ipasavyo ni kuwa kifungu cha KATIBA kinapaswa kuenziwa/kusujudiwa/ na SHERIA sio...
Wadau nadhani wote tunakumbuka kuwa Suala la KATIBA MPYA iliundwa TUME ya JAJI WARIOBA na Kuandaa RASIMU ya KATIBA lakini Mchakato ulikwama Kwenye BUNGE la KATIBA.
Gharama ya Tume,Rasimu Mpaka...