Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Mgombea urais na kiongozi maarufu wa muungano wa Azomio Raila odinga amewahaidi wakulima kuwa atazuia uingizaji wa mahindi toka nje ya nchi. Na ikumbukwe kuwa mahindi mengi yanazalishwa na kuuzwa...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Demokrasia inavyofanya kazi kwenye jamhuri ya ndizi (banana republic).
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Wadau huwa tunapigana vita sana huku lakini ukweli usemwe kwamba nchi hizi mbili zikiweka vita kando tunaweza kufanya biashara nzuri sana. Baada ya miezi 11, biashara kati ya Kenya na Tanzania...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni tycoon gani wakitanzania alitekwa huko Kenya tena? Au hiki chombo si chakuaminika? Maana mpaka sasa sijaona taarifa kama hii upande huu wa boda. Kenyan Cops Arrested For Kidnapping, Robbing...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunaendelea vizuri, wanakuja wote. ======= Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna. PHOTO | COURTESY Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna has announced...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
SERIKALI ya Tanzania imezindua rasimu ya mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje yenye urefu wa kilomita 112 kwa kiwango cha lami yenye thamani ya Sh bilioni 494 lengo ikiwa ni kupunguza...
5 Reactions
175 Replies
24K Views
Polisi wa Solai Kenya wanamshikilia Dennis Kibet kwa kuwashambulia kituo cha Polisi na Askari Polisi kwa mawe akiwa amelewa. . Ambapo baada ya kuhojiwa amesema alitaka kuona akirusha mawe kituo...
3 Reactions
5 Replies
887 Views
Rosemary ni Binti mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhesh Raila Odinga Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyojishughulisha kiuchumi bila kujali nafasi kubwa ya Babake anayeongoza kwa kura za...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wakuu Kutokana na athari za vita inayoendelea nchini Ukraine na haionekani kuisha karibuni,nawasikitikia sana Raila na Martha endapo watachaguliwa kuongoza nchi ya Kenya Wananchi watakua...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Raila Odinga, the Azimio-One Kenya presidential candidate, has slammed his rivals for rigging claims in the race for the country's top seat in the August elections, claiming that his victory is a...
2 Reactions
2 Replies
880 Views
Hii Nairobi expressway itatuonyesha mambo. Kuna huyu jamaa anapiga 180 kph kwenye Nairobi expressway. Kwangu naona kama anahatarisha maisha yake na sioni kama ni sawa. Japo jamaa amenishangaza...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
South Africa's highest court has legalised the use of cannabis by adults in private places, according to the BBC. Pro-marijuana activists cheered in the public gallery and chanted 'weed are free...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Benki kuu ya Kenya CBK imefungua jengo lililojengwa na kampuni ya China (CBK Pension Towers), ambalo liko katika kitovu cha Nairobi, nchini Kenya. Kampuni ya ujenzi ya Wu Yi ya China imejenga...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais Uhuru Kenyatta kajiendesha mweyewe kwenye airshow. Sidhani kama kuna marais wengi duniani wanaofanya hivi. I like Uhuru's free-natured spirit.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Seneta Cleophas Malala alidunisha kazi ya polisi mbele ya maafisa waliokuwa wakilinda kampeni zake Afisa mmoja aliyekuwa akilinda gari lililokuwa limewabeba Mudavadi na Wetangula alishindwa...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Viwanda vinazidi kuchipuka kote.. Jumbo Steel Mills’ new Sh2 billion Kisumu plant will begin operations on June 5, promising at least an additional direct 600 jobs for locals. The firm's...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu Rigathi amejitoa sana kwa Ruto, . Amepitia mengi, . Pia Ana uwezo mkubwa wa kuzungumza, kumobilise, uzoefu, anaijua nchi na namna ya uendeshaji wa Serikali. . Ana uwezo wa kifedha pia hivyo...
1 Reactions
5 Replies
668 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…