Kama unaifahamu movie yoyote kali ya kiswahili ya wakenya, dondosha jina lake hapa mimi nikaitafute maana hizi bongo movie ni full kuchoshana tu. After all nilishaacha kuziangalia siku nyingi...
Malala: DP Ruto anahujumu juhudi zetu za kumzolea 70% ya kura eneo la Western
Video inayomwonyesha Cleophas Malala akimshutumu William Ruto kwa kulemaza juhudi za viongozi wa Magharibi mwa Kenya...
Kuna watu wanaopenda kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika. Mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa...
Kisumu County has completed the first phase of mapping and assigning homes, businesses and social amenities in the lake city online addresses.
The county carried out the mapping exercise in...
Inaweza kufuatilia mwenyewe siasa za uchaguzi mkuu wa Kenya na.kuthibitisha hili
Magufuli ameacha legacy Afrika mashariki na Kati.
Nafuatilia hapa kupitia Citizen tv
Kupitia Deep State, Raila aliishauri serikali iondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuja na CBC (Competency Based Curriculum) ambayo ni 233333. Hii iliasisiwa mwaka 2017 baada ya maridhiano...
Mwanariadha wa Ujerumani amehukumiwa kifungo cha Jela miezi sita au kulipa faini ya Ksh. 70,000 (Tsh. Milioni 1.3) kutokana na kosa la vitisho na udhalilishaji wa mtandaoni Nchini Kenya.
Weiss...
Achievements za Mhe. Rais Uhuru:
1. Kuunganisha makabila 28 ya nchi.
2. Kuondoa urais kwy milki ya Wakikuyu pekee.
3. Kuonyesha njia kwamba rais awe kinara wa kutekeleza sheria pale alipokubali...
Ruto anasema serikali yake itaweka wazi bajeti ya kununua silaha kama njia moja ya kuwezesha uwazi kwenye biashara ya kununua bunduki
Alisema bajeti hiyo huwekwa siri na hivyo kuwa mbinu ya...
Wilberforce Murunga, 52, ameshinda kesi Mahakamani dhidi ya waliokuwa mashemeji zake ya kutaka arudishwe mahari ya pesa na mali alizotoa kwa ajili ya kumuoa Irine Mitekho Khaoya katika ndoa ambayo...
Rhumba icon Freshly Mwamburi, is celebrating 30 years after his girlfriend returned home from Japan with a new man.
The veteran musician expressed his disappointment in his song 'Stella Wangu'...
Kijana wa Kikenya amelitia Taifa hilo katika aibu baada ya kukwapua simu mbili za watasha waliokuwa wakipiga stori sogozi kwenye mgahawa. Kijana huyo aliyeingia ndani ya eneo hilo akiwa anaongea...
• The witness said a man wearing a suit stepped out and shot him four times.
• After the first round of shooting, the man went back to his car but came back and shot two more times.
Residents...
As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation...
Jumatatu, Mei 16, DP alikuwa katika kaunti ya Kajiado ambapo yeye, pamoja na mgombea mwenza wake aliyeteuliwa hivi karibuni Rigathi Gachagua na viongozi wengine walikuwa wakijipigia debe.
Hata...
Sylvie Kinigi (Tutsi) was PM for BI under Ndadaye, Agathe Uwilingiyimana PM for RW & Aq Prsd 1993 under Habyarimana till her assass' in 1994, Specioza Kazibwe 6th Vice Prsd UG 1994-2003 under...
-----------
Popular Afropop boy band Sauti Sol has threatened to take legal action against the Azimio La Umoja coalition party over alleged copyright infringement.
This is after the coalition led...
Huyu mtu mwenye roho mbaya, kisirani number moja kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia amebanduliwa katika uchaguzi uliofanyika jana.
Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.