Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Inakuwaje wanajamvi! Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi. Ruto ndie mtu sahihi...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Siasa Sio Urafiki, Kingi Amjibu Raila Kuhusu Madai ya Kumsaliti" Amason Kingi, amemtuhumu mwaniaji urais wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga kwa kuwasaliti Wapwani Kingi alipuuzilia madai...
1 Reactions
3 Replies
647 Views
Wakuu Kupita kwenye daraja hili ni shilingi elfu 7 ya Kitanzania Huko Nchini Kenya. . Wakenya wanaamua kupita kwenye njia yenye Msongamano ili kukwepa gharama hizo! . Kenyata anaupigaje Mwingi...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa mwendo huu tu... ====== A shipping line from the Democratic Republic of Congo plans to start its operations from Mombasa beginning June this year. The state-owned shipping line, the Lignes...
4 Reactions
2 Replies
727 Views
Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city. Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO. Biashara hii...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 12 kuanzia Mei 2022. Rais Kenyatta ametoa tamko hilo katika hotuba yake Siku ya Mei Mosi kwenye Uwanja wa Nyayo Jijini...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpaka leo Voda wanahangaika hawajapata mkurungenzi wa kudumu, kila wanayemteua anageuza na kurudi kwao baada ya muda mfupi, na wameshindwa kumpata mwenye sifa za maana ndani ya Tanzania...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ukiona baadhi ya meli zinaprefer kuwacha mizigo Mombasa port kuliko kupanga foleni ndefu huko Dar port ujuwe kwamba Malazy wameshindwa kabisa kuliendesha bandari lao. ====== Mombasa port...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Spika Justin Muturi amebainisha kwamba hana malengo ya kuhudumu tena katika cheo hicho katika Bunge la litakaloundwa baada ya uchaguzi mkuu Kwenye kikao na wanahabari, Muturi halikadhalika...
1 Reactions
1 Replies
452 Views
Awali alikuwa ameeleza kuwa atakuwepo kwenye mkutano wa Azimio la Umoja One Kenya Allance kwa vile chama chake cha Wiper, kinamuunga mkono Raila Odinga Hata hivyo alipowasili alivamiwa na vijana...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Wakuu Leo Tume ya mishahara Kenya (The Salaries And Remuneration Commission) imeondoa posho za vikao kwa wabunge 416 ili kuokoa Shs. 7.7 bilioni . . Wakati huo leo katika bunge la Tanzania, kuna...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wawaniaji huru wa urais walidokeza kuwa watamchagua mmoja wao, ili awawakilishe kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9, kwa minajili ya kuboresha nafasi zao za kuteuliwa Haya yanajiri baada ya Afisi ya...
1 Reactions
1 Replies
494 Views
Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kawaida yao hawa majirani huchelewa kwenye vyote, hutucheka kila tunapothubutu ila baadye huishia kufuata nyayo zetu, wameanza mipango na jitihada za kufumua mfumo wao wa elimu maana...
2 Reactions
13 Replies
906 Views
Hakimu awachia huru wanandoa baada ya kuiba beli la unga wa ngano. Hatimaye alifanya mchango wa dharura mahakamani kusaidia wanandoa hao. Aliwapa onyo wasirudie kosa. ======= The high cost of...
1 Reactions
3 Replies
562 Views
Huyu Morris Mbetsa nimemfuatilia kwa muda mrefu tangu zamani alipokuwa amevumbua car tracking device na speed governor hadi sasa ambapo amefungua factory ya kutengeneza electronic circuit boards...
4 Reactions
0 Replies
556 Views
Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G...
11 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania's Smart Codes hires African corporate leader WEDNESDAY MAY 11 2022 Dar es Salaam. Tanzanian firm, Smart Codes, a Smart Africa Group subsidiary, has appointed one of the continent’s...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Sabrina Dhowre Elba, mke wa staa wa filamu za Hollywood, Idris Elba ametembelea Nchini Kenya. Amefika nchini humo akiwa katika majukumu ya masuala ya kilimo ya Umoja wa Mataifa (UN Fund for...
0 Reactions
3 Replies
636 Views
Back
Top Bottom