Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya.
Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo...
https://wol.iza.org/articles/good-and-bad-in-remittance-flows/long
Kwa wale wanaotaka kujua zaidi kuhusu "remittances", faida na madhara yake, wapitie hii article wajue ukweli.
Tony254
dyfre...
Maoifisa wa benki ya Equity Tanzania wanadaiwa kutoa siri za wateja kuhusu kiwango cha pesa walichonacho kwenye akaunti zao.
Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT) lakini...
Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno!
Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi.
====
Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary...
Baadhi ya walimu Nchini Kenya wanataka adhabu ya viboko kurudishwa shuleni, ili kuwaadhibu wanafunzi wasiokuwa na nidhamu.
Adhabu ya viboko ilipigwa marufuku katika shule za Kenya mwaka 2001 na...
UDA PARTY PRIMARIES, Bigwigs fall out!
U should know kenyans
CS Keter - OUT
Kositany - OUT
Mandagoh - OUT
P. Tobiko - OUT
Sossion - OUT
Mosonik - OUT
Waruguru - OUT
Mwirigi - OUT
Jaguar - OUT...
According to a report by the Institute of Economic Affairs (IEA), studies show that Kenya loses approximately Ksh50 million daily due to direct financial impact caused by traffic jams.
The...
Okay you'll have seen that tweet from Nigeria about Zanzibar chiq who almost got raped.
I was on her side until them Nigerians started tweeting nonsense about Swahili, Kenya and Tanzania!
Wimbo wa taifa la Kenya inavutia kweli. Tazama video. Maoni ya Watanzania ni ipi kuhusu wimbo wa taifa la Kenya? Ila natoa ilani, kama una utoto usicomment.
Tunakwenda vizuri hadi hapo. Hakuna majungu ila tu makubaliano ya kibiashara, hamna cha kuchomeana vifaranga
========
Tanzania and Kenya have hammered out a bilateral trade deal cutting across...
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya.
Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi...
Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth
Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army...
Hivi kwa hali ya kawaida hayo makampuni ya Kenya yaliyowekeza Tanzania kweli ni makampuni au ni mama ntilie? Kwa wastani wa jumla ya hiyo idadi ya makampuni na hiyo pesa iliyowekezwa, kila kampuni...
MY TAKE: Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo Wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa...
NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida.....
==========================
A male with a big belly. PHOTO | COURTESY
Dodoma. The National Health...
Mmalaka Nchini Kenya imesitisha kibali cha kuendelea kuishi Nchini humo mmoja wa wauzaji wakubwa wa mafuta raia wa Ufaransa kutokana na sakata la uhaba wa mafuta linaloendelea.
Mfaransa huyo ni...
ECONOMY
New Sh346 million air traffic control system to boost JKIA safety
WEDNESDAY MARCH 10 2021
Terminal 1A at Jomo Kenyatta International Airport. FILE PHOTO | NMG
The Kenya Civil Aviation...
Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ) linatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katika utendaji kazi wake ikiwemo kupunguza safari na kuwaondoa kazini wafanyakazi kutokana na tatizo la fedha...
Ruwaza ya Kenya 2030 is the country's development programme launched on 10 June 2008 by President Mwai Kibaki. Its objective is to help transform Kenya into a "newly industrializing, middle-income...
Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho...