"Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..."
Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika...
Kuna huyu mzungu aliyeanzisha kampuni yake hapa Kenya ya kuunda efficient jiko ambayo haitumii makaa kwa wingi kwa jina la Jiko koa. Anasema kwamba kampuni yake sasa ndio inayotengeneza jiko...
Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama...
The National Cohesion and Integration Commission (NCIC) has unveiled a list of popularly used words that will now be considered hate speech and could attract legal action for using them.
With the...
Mwinyi’s account on the Rwanda genocide shock
SUNDAY MAY 16 2021
Second phase President Ali Hassan Mwinyi gestures at a past event. He writes in his memoir ‘Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha...
Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja...
St patrick hill schools invites qualified applicants for english/lit and biology/chemistry .Working hours 7-5 pm.There are two lessons per week 6-7pm and two 6-7 am .Housing provided single rooms...
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo:
Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya
Takwimu hizi za...
Wakuu Habari ya Muda
.
Chama Kikuu cha Upinzani Kenya ODM leo wanaendesha party primaries katika County tatu Turkana, Mombasa na Busia.
.
Ni kwa lengo la kupata atakaepeperusha bendera za chama...
Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote...
Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa.
Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako...
Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010.
Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye...
Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza.....
Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya...
Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi.
Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni...
The Kenya Pipeline Company (KPC) on Thursday launched its fibre optic cable that will run from the Mombasa port through Nairobi to Kisumu and Eldoret in western Kenya.
The state corporation is...
Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi...
Kama hatua za mwisho za kurasimisha....
DR Congo President Félix Tshisekedi is scheduled to visit Kenya on Thursday where he is expected to sign the East African Community (EAC) treaty.
Kenya is...
Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.