Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

"Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..." Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika...
1 Reactions
2 Replies
623 Views
Kuna huyu mzungu aliyeanzisha kampuni yake hapa Kenya ya kuunda efficient jiko ambayo haitumii makaa kwa wingi kwa jina la Jiko koa. Anasema kwamba kampuni yake sasa ndio inayotengeneza jiko...
2 Reactions
1 Replies
967 Views
Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa: Vipi uliwafikia au ndiyo mmefanya kama hamjauona? Poleni lakini, ila huo ndiyo ukweli wenyewe.
6 Reactions
12 Replies
1K Views
The National Cohesion and Integration Commission (NCIC) has unveiled a list of popularly used words that will now be considered hate speech and could attract legal action for using them. With the...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Mwinyi’s account on the Rwanda genocide shock SUNDAY MAY 16 2021 Second phase President Ali Hassan Mwinyi gestures at a past event. He writes in his memoir ‘Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
St patrick hill schools invites qualified applicants for english/lit and biology/chemistry .Working hours 7-5 pm.There are two lessons per week 6-7pm and two 6-7 am .Housing provided single rooms...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Tony254 tunaomba maoni yako katika hili.
3 Reactions
18 Replies
792 Views
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Habari ya Muda . Chama Kikuu cha Upinzani Kenya ODM leo wanaendesha party primaries katika County tatu Turkana, Mombasa na Busia. . Ni kwa lengo la kupata atakaepeperusha bendera za chama...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010. Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya...
2 Reactions
4 Replies
846 Views
Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi. Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
The Kenya Pipeline Company (KPC) on Thursday launched its fibre optic cable that will run from the Mombasa port through Nairobi to Kisumu and Eldoret in western Kenya. The state corporation is...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama hatua za mwisho za kurasimisha.... DR Congo President Félix Tshisekedi is scheduled to visit Kenya on Thursday where he is expected to sign the East African Community (EAC) treaty. Kenya is...
3 Reactions
4 Replies
846 Views
Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…